Patia Lyrics
Patia Lyrics by GWAASH
Wakamba ni waaminifu
Wakisema na wao ni kama kina mama
Wakisema watakupatia, watakupatia
VDJ Jones, Wakali wao Yao Yao
Fat Boy Gwaash(Mavo on the Beat)
Si unajua ni genje ni bwaya
Wakisema watakupatia, watakupatia
Patia, watakupatia
Wakisema watakupatia, watakupatia
Patia, watakupatia
Wakisema watakupatia
P-patia
Wakisema watakupatia
P-patia
Nimejipini jogoma kama masai na rungu
Bolingo iko strong leo tunavunja rungu
Kwanza ni mduli goshodo katundu
Napiga hiyo kitu kanachachisha Mulungu
Leta hiyo food, nakusubtract
Chora squareroot tukiflow tu kwa track
Mi hutembea na jeshi ya girimba na mafisi
Lyrical master, Wakali ndio sisi
Lalisha unapata ngeus wako ako missing
Mimi tu na yeye tuko chuom tu makissing
Nakapea dudu nakapachoko muthithi
Usiku hadi ngware tukiskiza mugithi
Wakisema watakupatia, watakupatia
Patia, watakupatia
Wakisema watakupatia, watakupatia
Patia, watakupatia
Wakisema watakupatia
P-patia
Wakisema watakupatia
P-patia
Anasema vako zangu za madem tu walai
Akimoan ananibamba ju anajua nishatight
Walikaza jo turi wakiskia nimepatch
Madolari tunahesabu tu tukiwa kwenye flight
Morio wangu ukikuja kwa irima utajua nimetry
Utajua mi si mlight
Najishasha ju najua mambo yangu iko high
Wanakashiva mazito wakisema hazidai
Kwenye club kila siku wanacheza ngoma zetu
Ndio wafeel very fine, ndio wafeel very high
Usikaze hii mboka ju mayut wata die
Wanatry kumake a living wakiingia kwenye mic
Nimemada hii track najua itawanyc
Nime nime nimemada nime nime
Nimechinja nimeua aaah...
Wakisema watakupatia, watakupatia
Patia, watakupatia
Wakisema watakupatia, watakupatia
Patia, watakupatia
Wakisema watakupatia
P-patia
Wakisema watakupatia
P-patia
Siwezi piga biz na wasanii fake
Afadhali kuona Jumanji na kababy re
Anyway mi namada dis, mi namada dat
Mi ndio king king, dai shati na mambling bling
Sai form bado mi ndio kingpin
Nilimsuka Pendo bado kumdunga ring ring
Ye hupenda vile jo anajipin
Nikidunga goro goro na kwa shingo tu masling
Mi nachoreshaga manze vitu crazy
Uliza OG, Virusi na KenRazy
Ukinitaka manze nipate Umoja
Na mbogi za kifathe pale mbogi za mawezi
Pale majenge hawaletangi ushenzi
Ju tuliwathigitha kushotora kina Daizy
Sai doba napiga na kina Jay Z
Na nisikuchanganye uulize royco kwa Chemist
Wakisema watakupatia, watakupatia
Patia, watakupatia
Wakisema watakupatia, watakupatia
Patia, watakupatia
Wakisema watakupatia
P-patia
Wakisema watakupatia
P-patia
Mafuta jipake kwa magoti
Familia nimebeba kwa long'i
Mi naworry kwela ni kigondi
Design anameza, anameza, anameza
Nina morio kushoto, kimomo gushodo
Si Uber ye huwekanga hata ngata kwa skonyo
Disepa ni roho za kuwateka waroro
Mi hushine design ka umepigwa chobo na Roro
Ala wee umepigwa chobo na Roro?
Aha kwani uliwekewa mchele ukadoro?
Sherehe global tujinyc bila wobo
Na kama kimbleina kinachachisha piga stroko
Ukitingisha kanungo ukibakisha
Ukizungusha wakila choma picha
Burungo ishachachisha leo ni kuzamisha
Hainanga hata paresha, na blb ya kuscissor
Wakisema watakupatia, watakupatia
Patia, watakupatia
Wakisema watakupatia, watakupatia
Patia, watakupatia
Wakisema watakupatia
P-patia
Wakisema watakupatia
P-patia
Watch Video
About Patia
More GWAASH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl