Confidence Lyrics
Confidence Lyrics by MASTERPIECE KING
Alright
Alright Boom
(Masterpiece, Masterpiece)
Confidence, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
I know my father got me, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
I know my God got me, hey kichwa juu
First of all agreement
Kuwa Mungu ako juu hakuna argument
Amenipa confidence
Sa kichwa huko juu, niko confidence
Aah stress iko juu
Lakini Mungu wangu ako juu, ako juu
Aaah uchumi iko juu
Lakini Mungu wangu ako juu, ako juu
Hakuna noma,
Inaweza kunitisha mimi(ooh yeah ah)
Hakuna noma,
Inaweza kunitisha mi(yeah)
Confidence, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
I know my father got me, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
I know my God got me, hey kichwa juu
Hakuna kitu inaweza tisha
Siko solo nina Jesus
Hakuna kitu inaweza tisha
Ju niko na Yesu kama Peter(yeiii)
Sa ma worry tunaweka low,
Hatuogopi no
Sa ma worry tunaweka low
Tuko na Jesus, mambo safi ka snow
Hakuna noma,
Inaweza kunitisha mimi(ooh yeah ah)
Hakuna noma,
Inaweza kunitisha mi(yeah)
Confidence, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
I know my father got me, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
I know my God got me, hey kichwa juu
Hakuna kitu inaweza tisha
Inaweza tisha
Hakuna kitu inaweza tisha
Ju niko na Yesu kama Peter
Hakuna kitu inaweza tisha
Inaweza tisha
Hakuna kitu inaweza tisha
Ju niko na Yesu kama Peter
Confidence, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
I know my father got me, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
Confidence, kichwa juu
I know my God got me, hey kichwa juu
Kama Peter,
Juu niko na Yesu ka-kama Peter
Kama Peter,
Juu niko na Peter Yesu ka-kama
Watch Video
About Confidence
More MASTERPIECE KING Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl