Pepeta Lyrics

Q CHILLA Feat EDDY KENZO Tanzanie | Bongo Flava,

Pepeta Lyrics


This is Chilla
Moto hauzimi moto baba
Come over, come over yeah yeah

Ana mwendo wa matege 
Nimechill radhi sio feki
Hatumiagi mchina mchina(Mchina mchina)
Kifuani pako dede, wala hahitaji jeki
Yaani yamesimama wima wima(Wima wima)

Mwili wangu kojokojo, na kongoroko eeh
Kanishika shika(Kanishika shika)
Ooh yeah kitandani sio gogo, masomasota
Kanishika shika(Kanishika shika)

Nijiweke kwenye kibuyu(Ayayee ayee)
Hadi nifike Mbeya tukuyu(Ayayee ayee)
Nitammumunya kama Umbuyu(Ayayee ayee)
Beiby do me like I you do you, yeah

Beiby nitang'ang'ana(Pepeta)
Yeah pepeta(Pepeta)
Beiby girl you give me love
You give me love(Pepeta)
Yeah pepeta(Pepeta)

-----
-----

Beiby nitang'ang'ana(Pepeta)
Yeah pepeta(Pepeta)
Beiby girl you give me love
You give me love(Pepeta)
Yeah pepeta(Pepeta)

Q CHILLA (4 lyrics)

Abubakar Shabaan Katwila a.k.a Q CHILLA / aka Q Chief, is a Bongo Flava artist from Tanzania.

Leave a Comment