Mihadarati Lyrics by STIVO SIMPLE BOY


Stivo Simple Boy 
Made in Kibera Productions

Vijana, tuwache mihadarati
Ndio maanake, tega masikio
Nasema, tuwache mihadarati
Ndio maanake, twende kazi

Vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati
Vi vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati

Vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati
Vi vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati

Unapata vijana, wanaketi keti tu
Wanavuta mihadarati hawajali
Wanapoteza wakati hawana habari
Ukivuta mihadarati inaharibu akili
Inaharibu mpaka mwili

Wametulitulituli wamebaki jobless
Kushoto na kulia manze wanalia
Hakuna kazi, wapate kazi 
Waishi vizuri, waishi masaa mazuri
Mambo iwe poa yaani iwe safi
Bila wasi wasi 

Vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati
Vi vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati

Vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati
Vi vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati

Ukivuta mihadarati itaharibu brain
Utafeel very pain ikiingia kwenye vein
My friend, muwache mihadarati 
Mseme YES WE CAN
Mambo iwe poa yaani iwe bam bam
Ukivuta mihadarati hakuna kitu umegain
Stand up never fall again
No pain no gain
Mambo iwe shwari yaani iwe gudi gudi

Vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati
Vi vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati

Vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati
Vi vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati

Tufanye upesi, tuangamize mihadarati
Tuwe na amani, tusipoteze wakati
Naketi chini, nadondokwa na machozi
Akina Hamisi, akina Johny akina Lucy
Akina Mercy, wote wamefariki
Manze tume wamiss-i, ju ju tu ya mihadarati

Moyoni mwangu nina machungu
Si kitefu tefu na hii si kizungu zungu
Vijana wamesepa kwa mwangaza, wameingia kwenye giza
Mapenzi kiholela, hawana hata haya
Wanafanya vitu mbaya zenye hazina maana
Wazazi wao wanalialia tu eti dunia mbaya
Kumbe watoto wao ndio wabaya

Nabaki mdomo wazi,
Nani alaumiwe, watoto au wazazi?
Kama una jibu, basi simama utupee jibu

Vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati
Vi vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati

Vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati
Vi vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati

Mimi Stivo Simple Boy nasema nahisi uchungu
Nikiona dada, nikiona kaka
Nikiona mama, nikiona baba
Mpaka vijana wameathirika tu
Na madawa za kulevya, Mungu wa rehema
Wape neema, wapate kusimama watimize ndoto yao
Wawe juu juu yaani wawe malo, 
Waseme asanti yaani ero kamano, omwano wamkwano

Vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati
Vi vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati

Vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati
Vi vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati

Yeah haha, Vijanaa
Si lazima tutumie mihadarati
Ama vipi?Huyu ni Boy wenyu Stivo Simple Boy
Ama vipi? Ndio maanake, this is your boy
Made in Kibera Productions, am out!

Kelxfy

Watch Video

About Mihadarati

Album : Mihadarati (Single)
Release Year : 2017
Copyright : (c) 2017 Made In Kibera
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 12 , 2019

More STIVO SIMPLE BOY Lyrics

STIVO SIMPLE BOY
STIVO SIMPLE BOY
STIVO SIMPLE BOY
STIVO SIMPLE BOY

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl