Favor Yako Lyrics
Favor Yako Lyrics by VIXY CHOSEN
This Is Safri
Kuna muda mi huwa nawaza hivi ningekuwa wapi
hohehahe asonatabaka Yesu umenipa hadhi
Ulisema ndio Daudi akatawala baba. akatawala baba
sema ndio milango zafunguka baba zafunguka baba
Me no worry ah don’t worry I know you got me
I don’t worry cannot worry baba uko nami
Tena won't stoop low with you father I will flow injili yako ntasambaza
Send me and I will go sikupi kisogo, neno lako kutangaza
Tena won't stoop low with you father I will flow sifa zako ntaeneza
Send me and I will go sikupi kisogo, neno lako kutangaza
Yesu weeh hivi nilivyo ni wewe (hivi nilivyooh)
Kwako weeh sitoki nimekwama (nimekwama)
Yesu weeh hivi nilivyo ni wewe (hivi nilivyooh)
Kwako weeh sitoki nimekwama (nimekwama)
Favor yako nipe baraka uzidishe(eh)
Nizidi ng'ara nami nikuwakilishe
Unifanye busy (busy busy)
Hizo ndege nipande baba nikutangaze (yooo oh ooh)
Hii ndo zamu yangu na umenipa kwa mida yako
Ukajibu maombi yangu sawasawa na mapenzi yako
Hii ndo zamu yangu (oh oh ooh)
Naumenipa kwa mida yako ukajibu maombi yangu (eiyeeeeh)
Sawasawa na mapenzi yako
Sitajuta kukufwata Yesu wangu Yesu wangu
Nachotaka kwako napata Yesu wangu Yesu wangu
Sitajuta kukufwata Yesu wangu Yesu wangu
Nachotaka kwako napata Yesu wangu Yesu wangu
Hata waseme sina foooorm nitakufwata we nitakufwata weh
Maana we ndo yangu foooorm Yesu we oh Yesu wangu weeh
Hata waseme sina foooorm nitakufwata we nitakufwata weeh
Maana we ndo yangu foooorm Yesu we oh Yesu wangu weeh
Umenipa furaha huzuni mi sina and more the reason nitakupa sanaa
Umenipa furaha huzuni mi sina and more the reason nitakupa sanaa(nitakupa sanaa)
Yesu weeh hivi nilivyo ni wewe (hivi nilivyooh)
Kwako weeh sitoki nimekwama (nimekwama)
Yesu weeh hivi nilivyo ni wewe (hivi nilivyooh)
Kwako weeh sitoki nimekwama (nimekwama)
This Is Safri yoooh
Watch Video
About Favor Yako
More VIXY CHOSEN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl