Mtaani Lyrics
Mtaani Lyrics by KING KAKA
Basi let them know
Mtaani habari they know me yeah(Mtaani habari)
Basi let them know
Mtaani habari they know me yeah(Mtaani habari)
Out of all people wako na mimi
Hakuna mahali siendi
One of you is about to Remy
Hata wakicopy niko na a number of plans
Wakisema nililoose nilikuwa bado number one
Na sunguch anawafeed mistari kwa spoon
KWS inajua kuna ndovu kwa room
Jeri pande ya Nyaga tu ghorofa za Ilara
To chuom za Mathare to Dala za Mbangaru
Utapigwa ngeta, on toes ka ballerina
Niko South of France maselfie na Selina
Try kuguza nutcase utaona uzito wa damu
Oya tia limau ndio samaki awe mtamu
Kuna shame kwa town utajua nimetoka place
King kwa decks utanipata na poker face
Mtaani ni state of mind basi kaa nayo
Hizo ndo headlines code ya skia Millard Ayo
Basi let them know
Mtaani habari they know me yeah(Mtaani habari)
Basi let them know
Mtaani habari they know me yeah(Mtaani habari)
Basi let them know
Mtaani habari they know me yeah(Mtaani habari)
Basi let them know
Mtaani habari they know me yeah(Mtaani habari)
Watch Video
About Mtaani
More KING KAKA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl