
Morio Lyrics
...
Morio Lyrics by KING KAKA
Morio
Morio wa me i
Jua we ni morio wa me i
Morio
Morio wa me i
Me na siz hatubingagi
But i hope ataitisha
Kama kuna kitu anahitaji
Wanasema ukikaa nbali
Ndio wana kutamani
Dynamizo yuko wapi
Alishatuwacha ama bado yuko ndani
Huyo ni morio wa mei i jamani
I swear niki kutana na yeke thao 30
Kama huniaminii usijiforce
Niliburn bridges bro ndio usiwai nicross
Nakupenda lakini siwezi kutrust
Mafans hunipenda haounirarulia shirt
Ule denge napenda sijaimshow
Chinje chije mtoe mashaito
Kinde finje mpaka ifike 500
Inde inde me stawai stop
Jua we ni morio wa me i
Jua we ni morio wa me i
Morio, morio wa me i
Jua we ni morio wa me i
Morio, morio wa me i
Jua we ni morio wa me i
Morio, morio wa me i
Nina morio unishow ziwashe
Na mwingine king ziwache
Mwingine nikiomba soo niwache
Ujue morio wangu ni wachache
Mtu wa power bana burn cables
Kuna morio wa me i aliturn tables
We ni mtu wa power bana don’t switch up
Na usinix no twitter
Ukinipata pants down no picha
Calm down ntapiga
At least unajua kudeal with my madness
Dennis knows i treated that couch like my mattress
Morio wa me i biros of a feather
Pia najua zile buds unapenda
Beste ni deni usingoje nikukanje
Nipatie loan ingine morio nikupange
Morio, morio wa me i
Jua we ni morio wa me i
Morio, morio wa me i
Jua we ni morio wa me i
Morio, morio wa me i
Jua we ni morio wa me i
Watch Video
About Morio
More KING KAKA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl