Chum Lyrics
Chum Lyrics by KING KAKA
Ukiipata yangu missed call
Basi jua nimekumisa
Ukinitaka nasipo picha yangu waeza kiss
Basi nieleze ulipo, nifike ata sahii
Bado love ipo, you know we were meant to be
Nimezunguka kote sikumpata
Nikaona wewe ndio unaenifa
Tunavyoendana kukukosa karaha
Napokuwa nawe naiona furaha
Maradhi ya moyo na we ndio tiba
Tunavyoendana kukukosa karaha
Pale ulipo name nipo
Mi na we pamoja hadi mwisho
Yale ya zama sio ya sasa
Ni ukurasa mpya
Si nukukiss, nikuchum
Upande gani bay i’m coming soon
Furaha yangu tumerudiana; kusema kweli nakupenda sana
Si nukukiss, nikuchum
Upande gani bay i’m coming soon
Furaha yangu tumerudiana; kusema kweli nakupenda sana
I swear ma this distance is killing us
Si uwe nandi wangu na mimi billnass
Vile ushanikubali i swear mimi bass
Tosha, tosha vile uchungu yangu umeipoza
Pigia mom mshow nakuposa
Na kosa sio kosa hadi kosa
Basi tosha tosha sahii mi ni budah nataka si tusettle
Tupange na mapadre kidogo pale petals
Wataùani yetu ka kasunje na kapede
Na ukiumia kidogo kwako mi ni detol
Main mbona nakeep up na plan B
Hatuwezi wachana ka waititu na Frankie
Usipotee njia hawa mafisi wakupate
Karibia kwangu kidogo nkupige mate
Pale ulipo name nipo
Mi na we pamoja hadi mwisho
Yale ya zama sio ya sasa
Ni ukurasa mpya
Si nukukiss, nikuchum
Upande gani bay i’m coming soon
Furaha yangu tumerudiana; kusema kweli nakupenda sana
Si nukukiss, nikuchum
Upande gani bay i’m coming soon
Furaha yangu tumerudiana; kusema kweli nakupenda sana
Si nukukiss, nikuchum
Upande gani bay i’m coming soon
Furaha yangu tumerudiana; kusema kweli nakupenda sana
Watch Video
About Chum
More KING KAKA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl