KING KAKA Beshte Yangu cover image

Beshte Yangu Lyrics

Beshte Yangu Lyrics by KING KAKA


Hey beshte yangu
Barua nimesign natumai ikufikie
Beshte yangu
I hope uko poa uliko
Hey beshte yangu
Sometimes sometimes ah
Beshte yangu
Utakuwa sawa uliko
Oh la la la, oh la la la alright
Oh la la la, oh la la la alright
Oh la la la, oh la la la alright
Oh la la la, oh la la la alright
Alright
Beshte yangu

And it’s okay kutokuwa okay
Uko pande gani beshte yangu basi nitokee
Let’s talk about, bana man to man
Kama ni noma adjust the plan
Uko hapa lakini akili mbali gani
Si umekuwa na mresh mali safi
Complains zimeziskia kwa majirani
Mavita tena karibu urushwe ndani
Vile unahandle vitu ndio urazi
Najua kutafuta kazi ndio kazi
The possible nautiza whose with me
Usiloose rhytm

Hey beshte yangu
Barua nimesign natumai ikufikie
Beshte yangu
I hope uko poa uliko
Hey beshte yangu
Sometimes sometimes ah
Beshte yangu
Utakuwa sawa uliko
Oh la la la, oh la la la alright
Oh la la la, oh la la la alright
Oh la la la, oh la la la alright
Oh la la la, oh la la la alright
Beshte yangu

Around last week another friend akanicall
Ilikuwa 5,6 hivi nakecall
Kam bana nikama kameumana
Noana kamba nani kama, kama amenikana
Mimi huyo like a friend nikakam through
By the bedside ame ka tu
Mkono kwa shavu ana wonder
King siunajua ive been faithful na I guy
And the test doesn’t look good
And I don’t know what to do
It’s possible to live usiloose rhythm

Hey beshte yangu
Barua nimesign natumai ikufikie
Beshte yangu
I hope uko poa uliko
Hey beshte yangu
Sometimes sometimes ah
Beshte yangu
Utakuwa sawa uliko
Oh la la la, oh la la la alright
Oh la la la, oh la la la alright
Oh la la la, oh la la la alright
Oh la la la, oh la la la alright
Beshte yangu

Watch Video

About Beshte Yangu

Album : Beshte Yangu (Single)
Release Year : 2023
Added By : Farida
Published : Jul 12 , 2023

More KING KAKA Lyrics

KING KAKA
KING KAKA
KING KAKA
KING KAKA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl