Love Song Lyrics
Love Song Lyrics by WAKADINALI
Wouh wouh! Yeah, yeah yeah!
Ride expe ni ya mbaru
Ju amejaza sana mariamu
Venye amejaza nyuma ni kifaru
Manzi yangu anaserve na anadu
Mtaratara ya kuuza ngwai na ni nyaru
Hashtag gain with gang Rong Rende
Nina kijana huko chini anatafutwa na Hessy
Niliambia bro we ni sugu
With no fear uliwakulia majuu na ulihepa
Get well soon stepper mtu wangu kwani ziliraru?
Get well soon naskia ulikaangwa
Ukiwa call ya mtoi wa daycare
Ride expe ni mbaru
Mariamu ni kifaru anaserve
Anadu mraa ya kuuza ngwai na ni nyaru
Shash ni important
Yut kiombizo manze ukimseti ni za ovyo
Economy ya karao ni mahongo
Learn kumgei hizo mikosi zilet go
Kuzidisha tenants ni waoga
So bunde nikizidisho mi hudema Nairobi kwa rentals
Nilidhani ni mavlogger kumbe ni patanisho
Mdem alinireport kwa radio
RIP guka ye ndo alikuwa na mabob ka wailers
Bash alinibuyia rot wailer
Rongboy na sikucheza, wong ni whichever
Tuko broke bila cheddah hepa
Hatari kwenye lango kama hatujaknock tuko wera
Nguna na si freelancer anachinjiwa hadi Srilanka
Game za paka na panya hapana
Kachumbari mi huengeza spice hata pastor
Tulipatana na dem ameivisha ameshanyanya
Machaji huku njei ni pastor Ng'ang'a
Ni juzi tu aliivishia mbang'a
Ride expe ni ya mbaru
Ju amejaza sana mariamu
Venye amejaza nyuma ni kifaru
Manzi yangu anaserve na anadu
Mtaratara ya kuuza ngwai na ni nyaru
Hashtag gain with gang Rong Rende
Nina kijana huko chini anatafutwa na Hessy
Niliambia bro we ni sugu
With no fear uliwakulia majuu na ulihepa
Get well soon stepper mtu wangu kwani ziliraru?
Get well soon naskia ulikaangwa
Ukiwa call ya mtoi wa daycare
Ride expe ni mbaru
Mariamu ni kifaru anaserve
Anadu mraa ya kuuza ngwai na ni nyaru
[Sewerydaa]
Big up kwa wale watu wote wa mkono kuonyesha support
Bicha mjamo si ilifanya hater jana akasag mdomo
Kiuna anapreach hakuna ni venye tu ako na wafuasi sturborn
Riot Nairo nayo nayo, siwezi enda kwa kina Navio
Huwezi niambia juu ya Africanism na nyi wote mmebleach
Waya si hukata hatutaki hatutaki kuwa associated na snitch
Ukitaka kuloose your sanity marry huyo B murder
Drill huyo fala mwenye alikuja na dagger kwa vita ya upini
Mtaa walishachoma picha tena zile za muhadhara
Naskia wakienda kudare abroad na kina Chamwanda
Mistake ya kwanza mbleina alifanya alikam kimala mala
Anakatia bibi ya badman na stra za kuomba namba
Ride expe ni ya mbaru
Ju amejaza sana mariamu
Venye amejaza nyuma ni kifaru
Manzi yangu anaserve na anadu
Mtaratara ya kuuza ngwai na ni nyaru
Hashtag gain with gang Rong Rende
Nina kijana huko chini anatafutwa na Hessy
Niliambia bro we ni sugu
With no fear uliwakulia majuu na ulihepa
Get well soon stepper mtu wangu kwani ziliraru?
Get well soon naskia ulikaangwa
Ukiwa call ya mtoi wa daycare
Ride expe ni mbaru
Mariamu ni kifaru anaserve
Anadu mraa ya kuuza ngwai na ni nyaru
Watch Video
About Love Song
More lyrics from Victims of Madness album
More WAKADINALI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl