Faya Lyrics
Faya Lyrics by JUALA SUPERBOY
Okey, Juala Superboy
Ni ni ni Superboy
Ni ni ni Superboy
Ni superboy Juala from Mathare
Ghetto ya Amarula, amarula yoh kama Roberto
Lyrically angu ni moto kama metal
Ukitaka uliza Willy M Tuva Mambo Mseto
Lyrically there kaa rada buda
Narusha mistari kama battle
Mi ndo yule pro nawafanya ki commando
Na bado mi ndio finest Eastlando
Wasanii acheni kelele na kupiga kiherehere
Hamna mistari, acheni mdomo kaya
Hizo ngoma zenyu zinasound kama choir
Ulizeni joh mafans, mi ndo yule mbaya
Wana wanajua mi ni mbaya
Wana wanajua mi ni faya
Wana wanajua mi ni mbaya
Mistari zangu kwani nio fire
Wana wanajua mi ni mbaya
Wana wanajua mi ni faya
Wana wanajua mi ni mbaya
Wasanii hadi wanagwaya
Mafans wanadai niko juu kimistari
Kila nikispit wanadai niwashe nare
Itabidi mmetii niwapashe hii habari
Ngoma zangu jo ni noma, na tena ni hatari
Mtajua nimekam design ni ya noma
Love yangu kali sana, na inakaba homa
Ninaget love everywhere, Nairobi to Bungoma
Matiang'i amesema, nyi mtaisoma
Salute me soldier, call me soldier
Hizi zote tu, mistari mi natema
Mziki mi nafanya kila kona natesa
Yeah, ushaskia mi natesa
Wana wanajua mi ni mbaya
Wana wanajua mi ni faya
Wana wanajua mi ni mbaya
Mistari zangu kwani nio fire
Wana wanajua mi ni mbaya
Wana wanajua mi ni faya
Wana wanajua mi ni mbaya
Wasanii hadi wanagwaya
-- ka Adam na Hawa
So hii ni flow bado nawatibu ka dawa
Wanadai mi ni mnoma, uliza ata Chiwawa
Nimemada wasanii wakatulia ka chawa
Kwa rap mi ni mchafu, I should take shower
Nikitema mistari wanadai niko sawa
Mahaters wanaelewa mi rapper napagawa
Ninazidi kupeperuka ka dush na mabawa
Wana wanajua mi ni mbaya
Wana wanajua mi ni faya
Wana wanajua mi ni mbaya
Mistari zangu kwani nio fire
Wana wanajua mi ni mbaya
Wana wanajua mi ni faya
Wana wanajua mi ni mbaya
Wasanii hadi wanagwaya
Wana wanajua mi ni mbaya
Wana wanajua mi ni faya
Wana wanajua mi ni mbaya
Mistari zangu kwani nio fire
Wana wanajua mi ni mbaya
Wana wanajua mi ni faya
Wana wanajua mi ni mbaya
Wasanii hadi wanagwaya
Watch Video
About Faya
More JUALA SUPERBOY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl