Mama Lyrics
Mama Lyrics by JUALA SUPERBOY
Dear mama, wacha kulia
Tulia tulia mamu uwache tu kulia
Shida zikipanda kwako wewe tulia
Usije kwani wewe ukajichukia
Mazuri duniani kweli mimi nakutakia
Najua si kupenda kwako kuona ukilia
Najua ni mateso inafanya unalia
Lakini usife moyo juu ya shida za dunia
Jipe moyo naye Mungu atakusaidia
[Chorus]
Wacha kulia mum, hebu tulia mum
Wacha kulia mum, hebu tulia mum
Wacha kulia ju ya shida za dunia
Wacha kulia mum, hebu tulia mum
Wacha kulia mum, hebu tulia mum
Wacha kulia na shida zitaishia
Am sorry mum, basi we acha usilie
Mateso ya dunia, wewe usiangalie
Amini Mola yupo, muombe akusikie
Moyoni utulie, rohoni uvumilie
Popote uendapo, yeye akushikilie
Chochote ufanyapo, yeye akusaidie
Hawezi kukuacha, tena uangamie
Kwa maana nakupenda, wacha akujalie
[Chorus]
Wacha kulia mum, hebu tulia mum
Wacha kulia mum, hebu tulia mum
Wacha kulia ju ya shida za dunia
Wacha kulia mum, hebu tulia mum
Wacha kulia mum, hebu tulia mum
Wacha kulia na shida zitaishia
Mimi ninalia, nani atanisaidia
Maisha yangu kwa kifupi naihadithia
Mateso kwetu sisi, ni kama tu gharama
Mateso kwetu sisi, ni kama pia lawama
Dunia ina uchungu, (Shhh!) aki ya Mungu
Nyumbani kuvunjwa, kweli ni uchungu
Ni uchungu(Dunia ina uchungu)
Ni uchungu
[Chorus]
Wacha kulia mum, hebu tulia mum
Wacha kulia mum, hebu tulia mum
Wacha kulia ju ya shida za dunia
Wacha kulia mum, hebu tulia mum
Wacha kulia mum, hebu tulia mum
Wacha kulia na shida zitaishia
[Chorus]
Wacha kulia mum, hebu tulia mum
Wacha kulia mum, hebu tulia mum
Wacha kulia ju ya shida za dunia
Wacha kulia mum, hebu tulia mum
Wacha kulia mum, hebu tulia mum
Wacha kulia na shida zitaishia
Watch Video
About Mama
More JUALA SUPERBOY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl