Yes Bana Challenge Lyrics by JUALA SUPERBOY


(Eyo motif turn me up on them Headphones bro)

Yes bana, yes bana, yes bana, yes bana
Buda wakikam tunawezana, tunawezana
Si sisi ni ngori na fire, yes bana
Hata kwa maombi na dawa, tunawezana
Hawawezi kutuzima washagwaya, yes bana

Mathare ni noma ni fire, yes bana
Mtaa ni ya wale wabaya, yes bana
Ati buda wakikam tunawezana, tutawezana
Si sisi ni ngori na fire, yes bana

Mathare ni noma ni fire, yes bana
Mtaa ni ya wale wabaya, yes bana

[Young Kire]
Hata kwa maombi na dawa, tunawezana
Hawawezi kutuzima washagwaya, yes bana
Mathare ni noma ni fire, yes bana
Mtaa ni ya wale wabaya, yes bana
 
Hivi leo nikitema mtakwara, yes bana
Ama muko na ubabi na maswara, yes bana
Young Kire nimekuja ka ubaya, yes bana
Nlikuwa busy nikisaka mshahara

Hivi kati yenu nani ni msoto
Ni Shikishiki, Obote ama Bomba
Wanangoja nini toka kwa umati
Baba yao nimechilli katikati

Leo nimechilli na sina ukali
Omulunje omwenyeva na kaugali
Aki vane mko funny kwa umati
Nilibuy tenje nipatie senje

Bahati mbaya na mi nakaa mulunje
Akanipara na riba za makunde
Na riba yake nikarada kisekunde
Young Kire ni mkaree

Wa Cosovo jo mathare
Ukabila nilisaree
Na sitaki jo maswali
Hapa mi ni ordinaree
 
Na mathare mbogi yetu inakam
Ni corona imetuweka kwenye jam
After this mtajuwa tumekam
Mabigfish hakuna venye mtajam
OG ni collabo tunakam
Tu Top chart chelele na bomb bomb

[Shiki Shiki]
Nilikuwa trip kule Ghana
Nikarudi na mariba tamu sana (Kama Gani?)
Juzi nimeshinda studio nikichana
Zile rhyme zinabamba wasichana
Mi ni sponyo ni pesa ndo sinaa
Life tamu ni kuishi bila jina
Afadhali mi nibaki kwamba sina
Ju ya zile deni niko nazo China

Pita pita kwa machuon ni madeni
Kwa mfuko zikilia ni mapeni
Wrong turn patikana na wageni
Makarao teketeke mbebeni
Ng’amo joga to ariembo ka ajuoga
Kedo koda to bende uluonga
Nikifika hapo buda utasonga
Moja moja mbili tatu nitakugonga

Shikishiki ndio the best
Ka ni chuma tumekula cheki chest
Na mapacks tuko nazo ndani ya vest
Ka ni flow tunatema zile best fast
Mbona wanasema hakuna compe, no bana
Wakidhani ni machampe, no bana
Wanaringa ni mabombe, no bana
Mkitucheki si ni ng’ombe? No bana

Tuko na fans wa mathare
Huniambia young terry we ni nare
Umeshika kona zote Kawangware
Endelea hivo hivo usisaree
Mi ni gangsta na bado mi pastor
Kuna moshi ju bado mi rasta
Mr baby baby mmmh si ni monster
Shikishiki kwenye game ni ma youngstar

Shikishiki with the virus
People talking about corona
Mistari ni kali jo zimeshika kila kona
Are you getting along with that
I guess utapona hatuogopi
Wasee wenye mwili biggy wameshona

Please baby pick up the call
Ni siku mingi sana sijaenda shortcall
Come baby come si ni mimi nakucall
We ni keeper najua utashika hiyo ball

Ona, bado shore ako tu na ngotha
Ye ni meli kwangu mi nahodha
Chap chap girl gol ngotha
Wacha nipick siri kwa uroda

Nikicheki mali mi nambao
Akichora saba tupa mbao
Akiiva mi nacheza nayo
Kidogo ndani nishamwaga thao

Nashika msupa kimangoto
Deadly shots kama ngotoo
Na mikono zimejaa mangoto
Ye ni baby mi humuita mtoto
Si ye ni baby mi humuita mtoto

Young Terry jo mi nina kesi
Juzi nilipatwa na Wangeci
Leo wamenikuta wakiwa jeshi
Wakona mapanga pamoja na marisasi

Analia mi humshmush fiti
Si kitanda pekee manze pia kwa kiti
Ye hushika dede manze kama kijiti
Kuilambalamba utadhani hiyo ni sweety

Swag juu chini mi ni feeler
Mi ni dawa yao mi ni healer
Young boy niko wera mi nasaka hela
Napenda mashore wana haga kama Bella
Wakitwerk na nimekalia tu kivela
Chap chap washa leta hiyo vela
Majina ni richman na sinaga hela hela

[Obote Obote]
Iko siku nilipendaga mkamba
Huyo dem alinifanya nikachanga
Nilikuwa kama chizi na makanga
Daily ako busy buda na pang’ang’a
Akirudi makejani ananipanga
Namuuliza mbona anapenda kuranda
Hizi vitu ndogo ndogo ndio matanga

Ati leo buda mi siwasikii
Kwa group wamenifanya mi daddy
Ju Obote nimetisha mpaka Khali
Msicheke nimependa huyu chali
Mi hucheki verse zake jo ni kali
Inamatter venye jina yake kali
Nimejenga Fally Ipupa mistari
Cheki amezipenda buda jo ni kali

Hivi soon kumbe kunakuja mali
Heri kuwa ready huku tunaparty
Huku boy tushikane jo mashati
Tunafuata kila kitu na masharti
Nikitema hapa mtatoa panty
Leo niko funny buda kama Padi
Nimedunga shati leo sio khaki
Sitafanya kama Shiti kwa umati
Sina beef Shiti kwani we ni babi

[StoneFace]
Baba wa mbiguni pokea sifa
Papa mwingine Jones bado wataka sifa
Eii lucifer ona mbali loo si far
Ndio ujuwe why niliacha kanisa
Na niliacha church juu ya pastor
Ju nasaka greener pastures
Halafu anaitaka motherfucker

Na system daily inatesa
Wakule nyama tupewe mfupa
Ka nimekuudhi pole izza
Sometimes ni hangover za shisha yes bana

Kuna vile tunai-murder
Design ya ule dada
Kuna vile nilikapanda
Kitanda hawezi panda

Niko busy mi nasakasaka
Shilingi kwa wingi nazitakataka
Kirubi nipate nae tukicheza Chaka
Mi in the local niite Yvonne chakachaka
So Davido, wapi doo, do you know
Ni Stoneface bomba, yes bana

Hello, sikia
Today nitakuturn kwa ma headphones
Siku mingi omollo buda usihang bro
Av been tryna reach you not for collabo

Ninataka one round kwenye battle
Maybe one on one yaani kama Rambo
But Buda nikifika ni matanga
Nina jeshi toka tanga na waganga
Leta ujinga nikufanye ka Ohanga

I've been rapping in ma city
Mathare over a minute
I’m trynna get to the limit, my nigga
My name is everywhere like the whores
In the streets and the clubs
Like a priest in the church
Imma preach for the world
And end rap for the mass

Hii ni jeshi mbaya ka corona
Kwenye stage tukipanda tunabonda
Pastor ng’ang’a nipe nduru ya sadaka
Ju ni nani ka sisi kwa church si kasisi
Buda me i pray to jehovah, wanyonyi
Papa wanje we mulungu yaani oh my

Av been praying everyday
Getting blessings all the way
Them tryna knock it and knock it
They tell me buda you’re joking but
Today am an OG they kissing ass

Cheers to the bigtunes they camping us
Kwa rap mi ndio father nor the mother nishamada
Everybody know me si badder than micasa
Coz me rapper and tougher
Still me running like gangsta
Buda hapa mi ni master

Naskia rapper anajidai ni mfalme
Akizidi jo ati kwanza ye ni finest
Mi siwezi bishana ju jina jo ni madness
Si rao amechill miaka thao akisaka hii crown
But mimi ninayo, agwamboo
Ju wewe ni king basi wacha niku-crown men
Over here basi come get the crown men

Omollo pole nimekuja ghafla
Kuna venye jo hunibamba
Ju kwangu we ni legend tena icon
But this time maringo utawacha
Omollo omollo omollo
Hii maringo utawacha ndio tugrow bro
Mara ngapi nitakusaka ukisema No
Na collabo hutaki tuthago

From mathare yaani mpaka Dago
Omollo mara ngapi nakutaja
Si simu napiga hushiki
Messo zangu pia buda hazifiki

Pia mimi nina dem figa chupa
Na sijaitangaza mi sina pupa
Bro usikate ngoja kwanza
Nina riba ningependa kutangaza

Ule rapper hujidai ati hu murder
Nilimcheki na masiz wa ibada
Nyashinski collabo tufanye
Tuwashike kama jaba mtaani
Ju Ohanga ni mteja samahani

Kang Kaka simu hashiki
Alilipiwa vitu mingi hazifiki
We mshow sina noma niko fiti
Ju buda hii ni tu hii si kiki
Yes bana, yes bana 
Yes bana, yes bana

Watch Video

About Yes Bana Challenge

Album : Yes Bana Challenge (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Mathare Allstars Music.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 03 , 2020

More JUALA SUPERBOY Lyrics

JUALA SUPERBOY
JUALA SUPERBOY
JUALA SUPERBOY

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl