OCTOPIZZO Noma Ni cover image

Noma Ni Lyrics

Noma Ni Lyrics by OCTOPIZZO


8Town (8Town)
Next Year visionary shit
Pizzo the what? Pizzo the what?
King and you know it; Hit!

[CHORUS]
Noma ni niko maganji
Noma ni we' ni mtiaji
Noma ni niko Magadi
Noma ni niko Bacardi
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi

[VERSE 1]
Noma ni hamnibambi
Noma ni nyi' wote ni mababi
Chorea OG, UGK wanani-compare na Bun B
Noma ni niko maganji, nigga
Noma ni hauna kipaji
Wallenje doo zina colour clash ita Peter Marangi
Daro niko mabangi ita Mr. Matiangi
Noma niko mangiayi
Wewe uko mayai
Jogoo road pale Hamza hapo ndio utaniwahi
Kujeni na ex wangu bado hamskii hamwezi niwahi
Noma ni mi' baba Tracy
Noma ni mi' baba Zara
Noma ni mi' baba Fredi Flacko
Wakiniona wana-holler
Noma ni baba Malcom X madame wananidara
Noma ni uliokoka
Noma ni niko mogoka

[CHORUS]
Noma ni niko maganji
Noma ni we' ni mtiaji
Noma ni niko Magadi
Noma ni niko Bacardi
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi
Noma ni niko maganji
Noma ni we' ni mtiaji
Noma ni niko Magadi
Noma ni niko Bacardi
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi

[VERSE 2]
Pizzo the king and you know it
Pizzo the king and you know it
Everything I rap about better believe I own it
Kila nguo mi' hudunga bana better believe I bought it
Muziki ni ndondi boxing
After Chrisi ni Boxing
Mayweather nikiingia kwa ring ma-punchline hazikosi
Walianza mwaka na pupa
Mi' kwa hosi nime-chill tu 'cause
I'm sick and you know it
I'm a dick come blow it
Superstar I'm glowing
Neck freeze I'm snowing
Hizo chocha za ku-rap faster buda joh come slowly
Niki-spit ebola
Kwenye street mi' baller
Nawaacha na mixed feelings bana wamekuwa bipolar
We' shillings mi' dollars
We' shati mi' collars
Wali-try kuni-call lakini sipatikani Truecaller
A A A A A A kila subject ni A
E E E E E E kila ndai ni E-class
Mwaga tei kwa hii glass
Funga bao na hii pass

[CHORUS]
Noma ni niko maganji
Noma ni we' ni mtiaji
Noma ni niko Magadi
Noma ni niko Bacardi
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi
Noma ni niko maganji
Noma ni we' ni mtiaji
Noma ni niko Magadi
Noma ni niko Bacardi
Noma ni mi' si refugee lakini saa hii bana siko kwa kambi
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi

[VERSE 3]
Nomare three comas kwa salary
Nomare watoi shule maze bila bursary
Nomare relationship niliachia bandari
Nomare New York ndio mi' hupeleka mahari (hey)
'Na cook up mi' mpishi
Wana look up nikidishi
Ki E-Sir hamnitishi
Na tena hamnilishi
Niliwapeleka kaburini so wanajua ni mazishi
Na kwa hio matanga yenu bana huskii bado tutadishi
King, swing
Bling, clean
Swag, mean
Grand, mill
Na hawa ndio wata ni-copy 'cause boss mi' ndio chopi
Niache rap nianze kuimba bado hamniwezi
Muache rap muanze kuiba afande hawa ni wezi
Kwa street niko na choppa
Kwa sky niko na chopper
Competition ni ya watu watatu - me, myself and I
We' ka' bado una-hate on Octopizzo kill yourself and die

[CHORUS]
Noma ni niko maganji
Noma ni we' ni mtiaji
Noma ni niko Magadi
Noma ni niko Bacardi
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi
Noma ni niko maganji
Noma ni we' ni mtiaji
Noma ni niko Magadi
Noma ni niko Bacardi
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi

 

Watch Video

About Noma Ni

Album : Next Year (Album)
Release Year : 2018
Added By : Afrika Lyrics
Published : Jul 09 , 2018

More OCTOPIZZO Lyrics

Ler
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl