VIRUSI MBAYA Kujiset Free cover image

Kujiset Free Lyrics

Kujiset Free Lyrics by VIRUSI MBAYA


Si tuko fresh ni kujibamba
Twanukia fresha marashi kashika pamba
Na warembo wanataka tu mabramba
Hawataki lolo ni makolo wanalamba

Kujiachilia ni kujiset free
Kujiachilia am prison breaking me
Kujiachilia ni kujiset free
Kujiachilia am prison breaking me

Najiset free, am prison breaking me
The more they hating me that's the more they hating me
There is no breaking me, big spender
Please boys stop mistaking me
Mi nilishajibamba ka ni jela I am thanking me
Najuana na mavedi so hizi ngwai naziseti free
Najuana na mapedi so sibuy naseti free

Bust most they roll my on
Coz hio ndio time mi hujiseti free
Hii ni ka double escape ikipenya kwa brain niko extra free
So ukiniita kwa show makesure kwa gate kuna extra fee
Usikose warembo nakuja na mbogi na wote ni VIP
Performance mi hukill I swear hii ni R.I.P

We cheza role yako, usinimind nitaroll yangu
Hio goalkeeper yecha ni maembe, haezi mess na goal yangu
Sikumbuki nikikuemploy but kazi yako biashara yangu
But we jibambe ju hata ukinihate
Tukichunguzwa vizuri hauna hasara kwangu

Ah najirelease, mi najisare
Unajidiss, we hauna starehe
Mi najibamba nina mambramba
Ona huyu lolo atalamba
Brazilian style tunawaswamba
Kikalamu tunawaswamba

Si tuko fresh ni kujibamba
Twanukia fresha marashi kashika pamba
Na warembo wanataka tu mabramba
Hawataki lolo ni makolo wanalamba

Kujiachilia ni kujiset free
Kujiachilia am prison breaking me
Kujiachilia ni kujiset free
Kujiachilia am prison breaking me

Mi najiachilia utadhani ni my release date
Kazi nilisema ikae ju walikuwa wananirelease late
Nacheki mrembo anajiachilia kwa floor kama carpet
Nacheki clown aliwachilia sai ndio amekuwa the real puppet

Ni ule boy kutoka 8, sorry boy nimefika late
Stori zao wakidebate, daily nitashika makali matest
Tukiingia club, si hujiachilia ndio kwanza ishike
Ka ni mrembo hakuna kumwachilia wacha kwa wazazi story ifike
Naskia mapedi ni wengi lakini shida tu leo ni nare
Kuna madeni zimewashika wanaanza kupigana mabare
Mawaiter wanazikaza wanakatiwa si usare
Hapo utakunywa fare ubebwe simu ubaki sare

Si uko fresh ni kujibamba
Twanukia fresha marashi kashika pamba
Na warembo wanataka tu mabramba
Hawataki lolo ni makolo wanalamba

Kujiachilia ni kujiset free
Kujiachilia am prison breaking me
Kujiachilia ni kujiset free
Kujiachilia am prison breaking me

Watch Video

About Kujiset Free

Album : Kujiset Free (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Feb 19 , 2020

More VIRUSI MBAYA Lyrics

VIRUSI MBAYA
VIRUSI MBAYA
VIRUSI MBAYA
VIRUSI MBAYA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl