Chomeka Lyrics
Chomeka Lyrics by VIRUSI MBAYA
Naota nachoma, mama naota nachoma
Lete koro, lete koro nikiangushe hadharani
Lete koro, lete koro nikiangushe hadharani
Ningekuwa na kapyenga haingefika magiza
Tunachomeka, tunachomeka
Ukileta shada
Tunachomeka, tunachomeka
Shash wakisha
Tunachomeka, tunachomeka
Ukilete mbichwa
Tunachomeka, tunachomeka
Shash wakisha
Wapi pedi, wai wai
Wapi pedi, wai wai
Awashe hapana
Kwa nini? Mambleina
[Virusi Mbaya]
East or West place kamewaka ndio home
Akili inalipuka vile huyu kijana ako mandom
Si lazima tupande 4W hata mtaani tumejiseti
Nimetokea na slayqueen amejisundia kwa kibeti
Riz kwa matiti na amechukua hio kiberiti
Happy birthday to Mary Jane kila day ni 4:20
I swear mi huwawasha nawaacha wakijikuna
Na ni kitu normal kwangu mi naweza seti hata ka nimetuna
So hata nikisleep walk mi husleep walk nikismoke
Na nikismoke nikisleep walk wanajuanga sio jokes
So tunastua mafox, leo tunaziseti tukinyemelea kama fox
Pedi alinyongwa tumejazana na mastock
Tunachomeka, tunachomeka
Ukileta shada
Tunachomeka, tunachomeka
Shash wakisha
Tunachomeka, tunachomeka
Ukilete mbichwa
Tunachomeka, tunachomeka
Shash wakisha
[Oksyde]
Ati rada ni whicha
Mtumishi buda vile mi nakuja na scripture
Niliambiwa nisome nikasema sisomi teacher
Nachoma ponje nzima na sichomi picha
Eey tunachomeka
Haina feel juu kushinda hata double decker
Walihepa zilishika na alitoweka
Flow buda nikipiga kunaloweka
[Scar Mkadinali]
Choma majani, jaba na maji
Changu hakidai zimeshika aah
Kingine kinawaka anabaki analia oooh
Ju popote tunapopita ni maharufu za mandom
Watoto wamejipa ati Scar anakuwanga form
Zalia anadai zimeshika
Mama hatakagi liquor
Nilizaliwa kuchoma mambichwa
Walai na hio si sifa
Uh nakuwanga rong you know me
Na si cock ukomi
Ka ni bong sichomi
Vitu long kwa long-i
Shore anakujianga kigong kigongi
Bitch nigga we unakuwanga na cologne ya pongi
Tunachomeka, tunachomeka
Ukileta mbichwa
Tunachomeka, tunachomeka
Ukikiwakisha
[Boutross]
Nilikuwa nyanya nikitoka juzi kwa Kilosh
Niliingia na chweza nikatoka na ya kioo
Nimeburn kila baze hadi home
Nimeburn hadi rosh toka kwa koro
Eey kwa event wakidai form
Wanapull up na drip ndo ziwake iburn photo
Naskia unadai kuwasha na we ni wa kigoco
Basi tupatane kwa orosho
Tutachomeka, tutachomeka
Bora usiniseti nitakushow zabe mi hutoa mali
Usinitoke na mabanga ka warazi
Usiniharibie hepi kwanza Bouti akiwa anamedi
Nitageuza hio skinny jeany ikuwe legging
Vijana wamefire kujidai wako steady
Walijidai wanaseti kumbe kwa vida mafegi
[Croco]
Mbona lately naseti hazishiki
Sheng jaba na pia makiki
Vile mi huchimbia pyenga utadhani mazishi
Lately naiva nimegeuka mpishi
Relax hadi Nicky akiseti hanaga ubishi
Naseti na pedi so tire haziishi
Mapyenga zinalandi mi sibakishi
Niko chini ya maji na behaviour ni fishy
Niko kwa chain so tire hainipiti
Siku hizi tunachachisha mpaka mazabe zenyu
Mi ndio hufikishia tire mapedi wenu
Ka we unadai veve basi hapa ndio venue
Leo mi naspend hii yote bana mi sikopi
She tryna give me brains na ye si chopi
She know that boy from Nairobi
[D'Jungle]
Nikiamka asubuhi nakiwa-wa-washa
Kabla nitoke keja nakiwa-wa-washa
Kabla nichape kazi nakiwa-wa-washa
Ati niwache ngwai siwezi wacha hapana
Ati kejani hujaza mali bila riz
Hizi mbichwa zimeshiba tu vifit
Hio ndio siku nilijifunza kujenga kiko
Usijali huwezi kosa ngwai mahali niko
Walai everytime
Kama si mangwai am thinking about mangwai
Juzi nilikuwa na mambleina nikasema
I swear that is the last time
Walipull up na manyaru
Wakanukisha ploti nzima that is crossing the line
Si tunadai mali safi tunasanif tunawasha
Sa ingine tunapika chai yaani tuna
Tunachomeka, tunachomeka
Ukilete mbichwa
Tunachomeka, tunachomeka
Shash wakisha
Tunachomeka, tunachomeka
Ukilete mbichwa
Tunachomeka, tunachomeka
Shash wakisha
Naota nachoma, mama naota nachoma
Leta koro, leta koro
Nikiakishe hadharani
Watch Video
About Chomeka
More VIRUSI MBAYA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl