Najikakamua Lyrics
Najikakamua Lyrics by ADASA
Mmh mmmh
(Petrooz on the beat)
Mafuta yamekosa usoni mwangu
Imenizidi njaa naanza safari yangu
Mama aliniambia nisisahau begi langu
Ikiwezekana pia nijilinde na walimwengu
Huko huko nakoenda
Shida nilizoona nyumbani zimenipeleka
Matatizo yamenitelezesha
Nguvu sina mwilini kabisa zimenigandamiza
Bado naji, bado naji
Bado najikakamua bado naji
Bado naji, bado naji
Bado najikakamua bado naji
[Benzema]
Sherekea yako, sherekea pia na wenzako
Wanasema kila dogi siku yake
Basi mi naongoja ile siku nitakuwa umbwa
Kubweka ndo nipate pesa
Kuchekwa ati sina hela
Barabara bado nacross na zebra
Danganya chokora doh iko MPESA
Ale, Ale alenjandro BOSSING
First jiamini na dunia itakuamini
5 star ndo kila mtu anataka
Huko huko nakoenda
Shida nilizoona nyumbani zimenipeleka
Matatizo yamenitelezesha
Nguvu sina mwilini kabisa zimenigandamiza
Bado naji, bado naji
Bado najikakamua bado naji
Bado naji, bado naji
Bado najikakamua bado naji
Mtu wa Uber, mtu wa surba
Mwenye unapigia kura natupia lugha
Champe champe jikakamue usisahau
Ujasiri uwe ndani yangu
Nisinyauke mafanikio yangu
Huko huko nakoenda
Shida nilizoona nyumbani zimenipeleka
Matatizo yamenitelezesha
Nguvu sina mwilini kabisa zimenigandamiza
Bado naji, bado naji
Bado najikakamua bado naji
Bado naji, bado naji
Bado najikakamua bado naji
Watch Video
About Najikakamua
More ADASA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl