H_ART THE BAND Simple Man cover image

Simple Man Lyrics

Simple Man Lyrics by H_ART THE BAND


Uka haha hakuhi na nie kairetu
Kairetu ka mummy, Kairetu ka daddy

I'm a Simple Man with a Simple Plan
Lady hold my hand and you will understand
What it means to live in a Simple World
What it means, what it means to love someone

Mwanzo najua mapenzi hayaliwi
Mimi mwanaume nitajitahidi
Hata choo nitaosha ikibidi
Itakua siri ya watu wawili, mi na wewe tu
Na jambo la pili
Nitakupa akili moyo na mwili
Kwani wewe niwe unayestahili
Kunyunyuziwa penzi langu kikamili
Na tatu ni sababu
Tutatunza binti yetu ka dhahabu
Akikosa lazima apewe adabu
Ili mwishowe asituletee taabu
Sijahisi hivi tangu nizaliwe
Nataka tujenge nyumba kama nne
Kwani wewe ndio malkia milele
Toka chini mizizi mpaka kilele
Unaonaje
Unaonaje

I'm just a simple man with a simple plan
Lady hold my hand and you will understand
What it means to live in a simple world
What it means what it means to love someone
I'm just a simple man with a simple plan
Lady hold my hand and you will understand
What it means to live in a simple world
What it means what it means to love someone
Kairetu ka mummy
Kairetu ka daddy
Kairetu ka mummy
Kairetu ka daddy

Empress we ni Queen si Slave
Ndio maana sitaki daily ukipikapika
Na simaanishi macalorie
Mtaani daily tu maicecream na mapizza
Lakini leo ukinisurprise na kagitheri mchuzi
Kesho kaugali mchicha ni mi ndio nitapikapika
Empress naoverstand relationship ulitoka roho sanasana alikukunja, alikuvunja
Na ndio maana hutaki mtu tofauti na wewe roho yako kuichunga, unajichunga
Lakini Empress narequest kama hutaki kunipatia trust, then nipatie time
Na najitrust with time, vitendo zangu zitaleta trust
Yaani Empress naoverstand we ni single mama
Uko na kaqueen, kamwana
Usikue insecure
Nitawatreasure we na kamum nyote sawa
Leo wewe nikikupeleka jioni Java makahawa
Kesho kamum anasmile Nyamavilla juu ya mabouncing castle na maseesaw
Keshokutwa si sote tuko juu ya madigaga mashishio
Tunaenda ocha kuona matha plus kumeet my people
Empress, wa kubonga watabonga
Lakini usimind, waonyeshe dental
Floss huto tudimple

Uka haha hakuhi na nie kairetu
Kairetu ka mummy, Kairetu ka daddy

Watch Video

About Simple Man

Album : Simple Man (Album)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Jun 04 , 2021

More lyrics from Simple Man (EP) album

More H_ART THE BAND Lyrics

H_ART THE BAND
H_ART THE BAND
H_ART THE BAND
H_ART THE BAND

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl