Kelele Lyrics by H_ART THE BAND


Gaaang!
It’s a Party Time
H_art The Band
Are you ready
1, 2, Kelele Kelele

Kelele kelele kelele kelele
Leo tunaleta
Kelele kelele kelele kelele
Dj ongeza hewa

Mi mkali ka pilipili
Mistari zangu safi zinasafisha akili
Hata bila koti ninabamba mawakili
Kimwili sijakonda nimenona kiakili
Usitafute bassman juu nishaawasili
Kila time Niko area kama sajili
Hii ni Mali asili
Sio vitu silly
Mi mtamu labda tu nibonge na asali
Kama kuku ni ndege basi samaki ni meli

Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza
Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza

Maisha ni majira
Leo kuna jua kesho kuna mvua Hata mchezo wa mpira
Leo unashinda kesho unashindwa Tumekuja ka tushaachoma
Leo hapa sisi ndio macustomer Na mifuko zimeshonashona
Waiter unatuweka

Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza
Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza

I know you wanna gerrit
Niko na cash mi sideal na macredit
Hii ni real and you know that I said it
I love the way you wine my baby
Baby come over, tukiseti in my RangeRover
Twende all over, roho yangu umetake over
Baby come over, tukiseti in my RangeRover
Ni wewe nangoja, nyumbani twende pamoja

Kelele kelele kelele kelele
Leo tunaleta
Kelele kelele kelele kelele
Dj ongeza hewa

Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza
Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza

Watch Video

About Kelele

Album : Party Time (Album)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : May 06 , 2022

More H_ART THE BAND Lyrics

H_ART THE BAND
H_ART THE BAND
H_ART THE BAND
H_ART THE BAND

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl