Chinje Lyrics
...
Chinje Lyrics by Toxic Lyrikali
Stoner hakosi na ako juu ya dimanga
Shika morio kuna vile tutakatsiana
Ni headbad nilimkataa akanipoint na panga
Nikona yangu naona tukikatiana
Staki ngori mob staki hoe staki ka si raw
Sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float
Staki ngori mob staki hoe staki ka si raw
Sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float
Sikua na thiang' nikaingia chinje
Packe nikiwa mabob iezi kafanya ni change
Wanted never me najua kuishi na wasee
Sanse nampace utadhani ni Senke
Denge Chinja chinja maliza ulele
Sembe finya finya ndio ni squeeze mwere
Tenje screen clear lazima itoshe
Mwere siezi achana na ye aende
Niko sober naskiaa lakini si poa
Ntaskia poa nikianza kukohoa
Inakubalika wakituona wanajiondoa
Tu doom cheki nguo ungekua ushaanza kutoa
Si ni mabuda kwa biz ka barber tunawanyoa
Luku diriba tisho ya madoa doa
Ni mpoa akinikiss ndio naopoa
Ka nimejam chali yake alinithigitha meno ndio namngoa
Rive imepasuka cheki na overflow
Ka ni videvu narusha ka Tyso
Mali ni chwani lakini kata hii soo
Si ndio wale tulichora makwela kwa blackboard
Siezi medi baze na kuna morio acidi
We ni fala umejipimp bado we ni pimbi
Nikona mbling tatu moja ndio ikona risiti
Cheki chuom ingia chuom karibu ofisi
Stoner hakosi na ako juu ya dimanga
Shika morio kuna vile tutakatsiana
Ni headbad nilimkataa akanipoint na panga
Nikona yangu naona tukikatiana
Staki ngori mob staki hoe staki ka si raw
Sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float
Staki ngori mob staki hoe staki ka si raw
Sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float
Short call serious biz long call hua ni mafi
Pita mandazi mandazi upate chai
No smile na medi na mtiaji sometimes
Siezi fry na bado sija kufry my guy step mos mos
Mos mos boss unaeza kosa koo
Unaeza kosa kuona kesho
Niki F kinachoke bila filtration
Kesho ile thiang' inaingia soko
Na imerust akuna kushonwa ni tetanus
Bei ni mwero lakini asset ni second hand
Mabunde tumejibebea mapepeta
Staki ngori mob siezi force mambo ka zi run
Stoner hakosi na ako juu ya dimanga
Shika morio kuna vile tutakatsiana
Ni headbad nilimkataa akanipoint na panga
Nikona yangu naona tukikatiana
Staki ngori mob staki hoe staki ka si raw
Sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float
Staki ngori mob staki hoe staki ka si raw
Sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float
Stoner hakosi na ako juu ya dimanga
Shika morio kuna vile tutakatsiana
Ni headbad nilimkataa akanipoint na panga
Tazamaji cheki tunakatiana
Staki ngori mob staki hoe staki ka si raw
Sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float
Staki ngori mob staki hoe staki ka si raw
Sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float
Watch Video
About Chinje
More Toxic Lyrikali Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl