Body Lyrics by BROWN MAUZO


We una kafiga ka Nicky Minaj
Toto umeiva ukawekwa nazi
Nilikuona kwa mbali nikafeel uchizi
Ujue kukufuata mie haikuwa easy

Tangu hizo enzi hadi siku hizi
Nilidata kwako kama una kizuizi
Wanaopiga sana namba iko busy
Usiwaskize yao baby take it easy

Kwa hicho kiuno chako
Baby whine your body, body
Ponda raha uko nami
Nami namwaga noti

Kwa hicho kiuno chako
Baby whine your body, body
Ponda raha uko nami
Nami namwaga noti

Naskia unapenda kitu kuu
Hujai lalisha mwili figa iko true
Hujaizalisha nikupatie wajukuu
Huskii Brown aligeuza serikali yaani kuu

Unanipa wasiwasi
Kwanza venye hio ass inavuta wafuasi
Si basi nipe chance, yaani nipe nafasi
Ndovu nikupe yote na sio kiasi asi

See I could chew you and ain't no be shame
Walahi I can do and do all over again
Siwezi kushare hii mali haiendi chain
Alafu tuongeze ndovu on your name

Kwa hicho kiuno chako
Baby whine your body, body
Ponda raha uko nami
Nami namwaga noti

Kwa hicho kiuno chako
Baby whine your body, body
Ponda raha uko nami
Nami namwaga noti

Whine for me 
Uko nami jilaze kifuani
Hapa mori umenipanda kichwani
Tukamalize vita nyumbani

Whine for me 
Uko nami jilaze kifuani
Hapa mori umenipanda kichwani
Tukamalize vita nyumbani

Gimmie gimmie dat, gimmie (Gimmie)
Gimmie gimmie dat, gimmie (Gimmie)
Oh gimmie gimmie dat, gimmie (Gimmie)
Chiiii....

Kwa hicho kiuno chako
Baby whine your body, body
Ponda raha uko nami
Nami namwaga noti

Kwa hicho kiuno chako
Baby whine your body, body
Ponda raha uko nami
Nami namwaga noti

Watch Video

About Body

Album : V the Album (Album)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 26 , 2021

More lyrics from V the Album album

More BROWN MAUZO Lyrics

BROWN MAUZO
BROWN MAUZO
BROWN MAUZO
BROWN MAUZO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl