BROWN MAUZO Moyo Wangu (Accoustic) cover image

Moyo Wangu (Accoustic) Lyrics

Moyo Wangu (Accoustic) Lyrics by BROWN MAUZO


Mapendo ya dhamani
Kupenda kusiko kifani
Ukieka kwa uzani
Ah haupimiki

Na maisha safari, tuianze tukiwa wawili
We ndo rubani, ah we niendeshe
Na sijazama nusu, mzima kichwa hadi miguu
Shahidi ardhi na mbingu

Moyo wangu nilikupa
Akili yangu ukaiteka
Moyo wangu nilikupa
Akili yangu ukaiteka

Nimuache wewe niende kwa nani
Kwako napata nitakacho
Yangu taa kwangu chumbani, ni wewe
Wapo wengi ila siwaoni, macho nina upofu

Kwa ile dawa unayonipa
Maradhi nilipona
Maradhi nilipona nilipona
Na sasa nala raha

Wanaodhani ni utani
Mkono tuchore na tattoo
Kabisa waseme ni juju eh eh

Moyo wangu nilikupa
Akili yangu ukaiteka
Moyo wangu nilikupa
Akili yangu ukaiteka

Taranta ta, taranta 
Taranta ta, taranta 
Taranta ta, taranta 
Taranta ta, taranta 

Watch Video

About Moyo Wangu (Accoustic)

Album : V the Album (Album)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 31 , 2021

More lyrics from V the Album album

More BROWN MAUZO Lyrics

BROWN MAUZO
BROWN MAUZO
BROWN MAUZO
BROWN MAUZO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl