Niko Busy Lyrics
Niko Busy Lyrics by TRIO MIO
AHa, Trio! Trouble yeah
(Stray Music)
Na niko mboka niko works niko busy
I got the city on my back niko tizi
Put the money in the bank if you need me
Trouble maker in the car tuko easy
Na niko mboka niko works niko busy
I got the city on my back niko tizi
Put the money in the bank if you need me
Trouble maker in the car tuko easy
Niko mboka niko works niko busy
Ngumu upate na relax niko tizi
Kuomoka huwaga luck kama CV
Hizi area ka hauna racks we ni mwizi
I'm a pedi wa mambichwa
We ni slayqueen unalishwa
Hapa kazi tuko works tuko busy
Nyi warazi hamwezi hack usingizi
Ukilalisha rasa niko busy nasaka
Kama city na basa ni matiki nataka
Hakuna kiki nafuata hii mziki ni janta
Kujiamini ndo mantra, sishikiki ni frakas
Trio Mio niko ndakas, niko very inside
Game ni circus ni majoh ka bitter
Mi ni disaster ukidiss na rapture
Ka si ni biz nachapa hio simu decline
Na niko mboka niko works niko busy
I got the city on my back niko tizi
Put the money in the bank if you need me
Trouble maker in the car tuko easy
Na niko mboka niko works niko busy
I got the city on my back niko tizi
Put the money in the bank if you need me
Trouble maker in the car tuko easy
Trio Mio mkurugenzi wa jiji
Mwenye kiti kamati ya machizi
Rada safi nicheki kwa TV
Mtumishi wananiita kasisi
Sibahatishi ni mazishi
Hamnilishi hamnivishi
Uliomoka masimu hushiki
Niliwatoka nasonga vi tricky
Sipatikani yaani niko mahali fulani
Ka si biz inajipa hatusaidiani
Nimekupima uzani hatufanani kazi
Usanii ni journey nimetoka mbali
Mi ni Khali myoung OG Jones
Nyi ni mastude mi ndio Odijo
Pigwa pano osha corridor
Trio ngori bro, flow horrible
Na niko mboka niko works niko busy
I got the city on my back niko tizi
Put the money in the bank if you need me
Trouble maker in the car tuko easy
Na niko mboka niko works niko busy
I got the city on my back niko tizi
Put the money in the bank if you need me
Trouble maker in the car tuko easy
RENATA
Na roll na magoons wanazoza
Pesa sabuni naoga mkiamka ndo nakaokota
Maringo na bado hamjaomoka
Shawty wa jiji nazoza kwa jiji
So cheza na peng usigamble na mi
Mi niko wera natafta riziki
So kama hailipi achana na mi
Utiaji imeanza siku hizi
Ndio maana hizo simu sizishiki
Ati babe utakujia miti
What? Niko mboka niko works niko busy
Pedi msupuu the East DOn
Ukileta noma tuko feast on
Mbogi inakuja na saucer
Bon appetit si ni makosa
Mbogi inakuja na saucer
Mbogi inakuja na saucer
Mbogi inakuja na saucer
Mbogi inakuja na saucer
Mboka niko works niko busy
Got the city on my back niko tizi
Put the money in the bank if you need me
Trouble Trouble Trouble!
Watch Video
About Niko Busy
More lyrics from Son of The City album
More TRIO MIO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl