Kazi yangu Ikiisha by EMACHICHI Lyrics

Kazi yangu ikiisha nami nikiokoka
Na kuvaa kutokuharibika
Nitamjua mwokozi nifikapo ng'amboni atakuwa wa kwanza
kunilaki

Nitamjua nitamjua nikimwona uso kwa uso
Nitamjua nitamjua kwa alama za misumari

Furaha nitapata nikiona makao
Bwana aliyoyatwandalia
Nitamsifu mwokozi kwa rehema na pendo vilivuo nipa pahali
mbinguni

Nitamjua nitamjua nikimwona uso kwa uso
Nitamjua nitamjua kwa alama za misumari

Nao waliokufa katika bwana yesu
Nitawaona tena uko juu
Lakni nifikapo kwake uko mbinguni
Nataka kumwona mwokozi kwanza

Nitamjua nitamjua nikimwona uso kwa uso
Nitamjua nitamjua kwa alama za misumari

Milangoni mwa mji bwana atanipisha
Pasipo machozi wala huzuni
Nitauwimba wimbo wa milele lakni
Nataka kumwona mwokozi kwanza

Nitamjua nitamjua nikimwona uso kwa uso
Nitamjua nitamjua kwa alama za misumari

Kazi yangu ikiisha nami nikiokoka
Na kuvaa kutokuharibika
Nitamjua mwokozi nifikapo ng'amboni atakuwa wa kwanza
kunilaki

Nitamjua nitamjua nikimwona uso kwa uso
Nitamjua nitamjua kwa alama za misumari

Music Video
About this Song
Album : Kazi Yangu Ikiisha (Single),
Release Year : 2012
Added By: Trendy Sushi
Published: Mar 03 , 2020
More Lyrics By EMACHICHI
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment