Chomeka Lyrics
Chomeka Lyrics by SUSUMILA
Ebu nichezee beat haha
Konde boy dembwe dembwe dembwe
Toto liko dembwe dembwe dembwe
Nadia, Sultan, 001
(Teddy B)
Mtoto msupa na kiuno ni majanga yeah
We Mukami wee
Ulivyo fiti kama mi na wa Jalang'o we
Mamacita wee
I got one purpose niite commando
Speedi 4G Whatsapp bila bundle
Kwako sita retire umenikamata
Unavyo-shine sio mchafu kama mabata
I've never seen kama ulivyo
Mtoto kiuno kama goro
Shape nyumbu nyumbu ulivyofungisha
Unanipandisha mori kama mmasai
Umefundishwa na nani wee
Umetoka Udigoni wee
Bigo zako swagga zinachanganya
Nipeleke mpaka nichizi wee
Chomeka, chomeka
Chomeka hio pin charger
Chomeka, chomeka
Chomeka hapana mlima Kitonga eeh
Chomeka, chomeka
Chomeka hio pin charger
Chomeka, chomeka
Chomeka hapana mlima Kitonga eeh
Aah ah, aah aah pekejeng pekejeng
Aah ah, aah aah pekejeng pekejeng
Aah ah, aah aah pekejeng pekejeng
Aah ah, aah aah pekejeng pekejeng
Kwako niweke mkandarasi
Nitajenga daraja la mapenzi
Warukia dhahabu na almasi
Hili penzi letu lizidi nyooka wee
Unashindaga Mamacita
Holy fire fire
Utamu ng'ari ng'ari yuwaniita
Macho kama unaniita
Anapendahga ninavyosakata kadanda
Mauno ya Pwani yaani Mombasa
Kisuru wakawaka umenikamata
Kwenye kiza totoro nitawasha taa
Chomeka, chomeka
Chomeka hio pin charger
Chomeka, chomeka
Chomeka hapana mlima Kitonga eeh
Chomeka, chomeka
Chomeka hio pin charger
Chomeka, chomeka
Chomeka hapana mlima Kitonga eeh
Aah ah, aah aah pekejeng pekejeng
Aah ah, aah aah pekejeng pekejeng
Aah ah, aah aah pekejeng pekejeng
Aah ah, aah aah pekejeng pekejeng
Eeeh, eeh eeh, eeeh, eeh eeh
Aah ah, aah aah pekejeng pekejeng
Aah ah, aah aah pekejeng pekejeng
Watch Video
About Chomeka
More SUSUMILA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl