TALLIE Bugia cover image

Bugia Lyrics

Bugia Lyrics by TALLIE


Ah penye moshi lazima kindukulu (Ndukulu)
Penye kuku lazima Wepukhulu (Wepukhulu)
Ah nimesunda nganji kwa katululu
Leo sina ndae nimekuja na kisululu

Tutado what? Tutaride boda boda
Ah looku safi nimepaka powder
We unatoka local unataka kuvuka border
East twende West ukutane na ma oga

Kwa manaija wa ma Naira
Niko na doh mi huzibank kama Tryra
Tallie top Shetta si mi ndo mama Kyla
Ikifika Weekendi si huwaka ka kawaida

Waiter leta, waiter leta
Mbogi iko kwa njia by the way ongeza meza
Tunaiweka tunaserereka
Leo ni kuwatesa na vako za dictator

Eey tunabugia bugia (Bugia)
Aah tunabugia bugia (Bugia)
Eey si tunabugia bugia
Na isiposhika tunarudia rudia

Eey aah tunabugia bugia 
Leo tunabugia bugia 
Aah si tunabugia bugia
Na isiposhika tunarudia rudia

Eey aah tunabugia bugia 
Leo tunabugia bugia 
Aah si tunabugia bugia
Na isiposhika tunarudia rudia

Eey aah tunabugia bugia 
Leo tunabugia bugia 
Aah si tunabugia bugia
Na isiposhika tunarudia rudia

Kumewaka sana wapi bako ya maji
Leo ni kushikisha jaba na washikaji
Pale kati kati ati ndo kuna party
Mpaka boy wangu Gidy si ako maji maji

Kesi baadae leo tunachoma rada
Tunachoma mpaka tutafutwe na NACADA
Leo maboy wangu wanachotwa na mamatha
Hao madem wenu washachukuliwa na mafala

Mi nakula hepi natupa hasara juu
Sahau shida zako na uanze kuzitoka
Life tu ni moja kukufa ni number 2
So before iishe we anzaga kuzi-order

Waiter leta, waiter leta
Mbogi iko kwa njia by the way ongeza meza
Tunaiweka tunaserereka
Leo ni kuwatesa na vako za dictator

Eey tunabugia bugia (Bugia)
Aah tunabugia bugia (Bugia)
Eey si tunabugia bugia
Na isiposhika tunarudia rudia

Eey aah tunabugia bugia 
Leo tunabugia bugia 
Aah si tunabugia bugia
Na isiposhika tunarudia rudia

Eey tunabugia bugia 
Leo tunabugia bugia 
Si tunabugia bugia
Na isiposhika tunarudia rudia

Eey mtindi tunabugia bugia 
Keroro tunabugia bugia 
Maji tunabugia bugia
Kamnyweso tunarudia rudia

Eey mtindi tunabugia bugia 
Keroro tunabugia bugia 
Maji tunabugia bugia
Kamnyweso tunarudia rudia

Mi mnanisumbulia kwanini?
Mi nakunywa hapa pombe yangu
Huyu anataka kuniwekea mchele kwa stew
I mean kwa pombe 

Mi na siskii njaa
Wachana na mimi nibugie pombe yangu bana
Kwani ni nini? 
Waiter bana, waiter bana
Leta kitu hapa!

Watch Video

About Bugia

Album : Bugia (Single)
Release Year : 2020
Copyright : © 2020 Taurus Musik
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 31 , 2020

More TALLIE Lyrics

TALLIE
TALLIE

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl