Nikubebe Lyrics
Nikubebe Lyrics by SUSUMILA
Sikumii daddy, toto shepu la tege
Utapenda akichutama
Anipandisha midadi shepu la kijiko
Akinipa najing'ata
Unywele singa singa chombo
Chombo ya fundi chombo eh
Pongezi ziende kwa mkunga
Alofanya hima ukazaliwa katoto we
Kasura kako ka kitoto
Mtoto uno dondora
Tafswira yako ya upole
Mtoto jojo jojo eeh
Wakigonga vibuda buda
Wachune chune uniletee
Mimi kwako mateka teka
Nichombeza mpaka ninogewe
Nitakukatia bima ujishindue
Twende wote uzeeni
Ado ado kama mbuzi na kamba yake
Kwako zaidi ya sherehe
Am in love, baby nikubebe
Am in love, jegeje jegeje
Am in love, baby nikubebe
Am in love, upakate pakate
Am in love, baby nikubebe
Am in love, jegeje jegeje
Am in love, baby nikubebe
Am in love, upakate pakate
Nikube nikube, nikubebee
Nikubebee
Nikube nikube, nikubebee
Nikubebee
Nyuma ukitingisha unanikondesha
Natamani unipe lote lote
Mtoto goody goody unikoshaga
Mi natokwa na mate mate
Nikikutekenya unatekenyeka
Mlio wa sauti ya guitar
Nyuma dembe dembe nairokota
Njoo tucheze pasita
Wakigonga vibuda buda
Wachune chune uniletee
Mimi kwako mateka teka
Nichombeza mpaka ninogewe
Nitakukatia bima ujishindue
Twende wote uzeeni
Ado ado kama mbuzi na kamba yake
Kwako zaidi ya sherehe
Am in love, baby nikubebe
Am in love, jegeje jegeje
Am in love, baby nikubebe
Am in love, upakate pakate
Am in love, baby nikubebe
Am in love, jegeje jegeje
Am in love, baby nikubebe
Am in love, upakate pakate
Nikube nikube, nikubebee
Nikubebee
Nikube nikube, nikubebee
Nikubebee
Watch Video
About Nikubebe
More SUSUMILA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl