Salima Lyrics
Salima Lyrics by LINEX SUNDAY MJEDA
Je jey ahh
The V.O.A
Tuddy Thomas
(Wasafi)
Eeh Salima, Salima ooh
Najua maisha yako yaliyumba
Pale ulipo wapoteza wazazi wako
Yule Salima wa jana
Sio Salima wa leo
Amekua wa kujiinania
Na kujikata tamaa
Iko wapi furaha yake
Aliyokuwa nayo mwanzo
Iko wapi furaha yake
Aliyokuwa nayo mwanzo
Salima nakusanze kasuru
Kagonga wekuye tenga tinyanya
Salima chenisange nguya
Yene nasoma nawe mwengee
Salima mi ni sange yule yule
Milie soma nawe Mwenge
Zimeyayuka ndoto zako
Ulizo kuwa nazo Salima
Ooh Salima! Mie mwenzako nakupenda
Ooh Salima! Mie nataka niwe wako
Ooh Salima! Tuwe na wana tujejenga
Ooh Salima! Niwe baba wa watoto
Ooh Salima! Mie mwenzako nakupenda
Ooh Salima! Mie nataka niwe wako
Ooh Salima! Tuwe na wana tujejenga
Ooh Salima! Niwe baba wa watoto
Naomba hiyo bahati
Ya kuishi nawe
Idondokee kwangu
Isiende kwa mwingine
Yasije kuwa kama yale
Ya mla nawe hafi nawe
Yasije kuwa kama yale ya
Mla nawe hafi nawe
Usijikatie tamaa
Kuna wengi wana shida kuliko zako Salima
Wanaamini kupitia yule msemo
Wa ridhiki hapo mbinguni kwake
Wanaamini kupitia ule msemo
Wa ridhiki mafungu saba Salima ooh
Ooh Salima! Mie mwenzako nakupenda
Ooh Salima! Mie nataka niwe wako
Ooh Salima! Tuwe na wana tujejenga
Ooh Salima! Niwe baba wa watoto
Ooh Salima! Mie mwenzako nakupenda
Ooh Salima! Mie nataka niwe wako
Ooh Salima! Tuwe na wana tujejenga
Ooh Salima! Niwe baba wa watoto
Moyo unatamani
Yaani yaani kuwa kitabu ufungue (Ufungue)
Usione jinsi gani
Unavyonifanya niugue eeh
Zenda huri nana
Uwawish uwawi nashisee
Pamoja kuherera baba
Utungamizi japo niulimishe
Utamu, utamu wa moyo wangu
Mi kupendwa nawe
Utamu, sa nini tatizo mami
Basi sema nielewe
Ah Salima ooh (Oh ayee)
Salima eeh (Oh ayee)
Salima ooh (Oh aee)
Salima eeh eeeh...
Ooh Salima! Mie mwenzako nakupenda
Ooh Salima! Mie nataka niwe wako
Ooh Salima! Tuwe na wana tujejenga
Ooh Salima! Niwe baba wa watoto
Ooh Salima! Mie mwenzako nakupenda
Ooh Salima! Mie nataka niwe wako
Ooh Salima! Tuwe na wana tujejenga
Ooh Salima! Niwe baba wa watoto
I feel that I'm in love with you
I feel that my life is you
I feel that you're the only one I need
I'm gonna trust
Baby I'm not perfect but
I'm going my all the way
And I just want to be with you
Me and you forever and ever
Ooh Salima! Mie mwenzako nakupenda
Ooh Salima! Mie nataka niwe wako
Ooh Salima! Tuwe na wana tujejenga
Ooh Salima! Niwe baba wa watoto
Ooh Salima! Mie mwenzako nakupenda
Ooh Salima! Mie nataka niwe wako
Ooh Salima! Tuwe na wana tujejenga
Ooh Salima! Niwe baba wa watoto
Wako watoto kedekede
Na watoto kedekede
Shemeji mchange
Wandese atanisaidia
Salima, Salima, Salima
Watch Video
About Salima
More LINEX SUNDAY MJEDA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl