NACHA Lemme Love You cover image

Lemme Love You Lyrics

Lemme Love You Lyrics by NACHA


Nyasubi ndani ya mabanyu again
Yeh

Ey, ni kama kuleta sheria zako kwenye nyumba za watu
Na watu wabaya siku zote ni waty ma
Ey ma, far away
Tulipotoka mbali ni mini na we
Kama utotoni ,uko mgongoni
Raha zako so najihisi kama peponi
Hata ndotoni, tenzi rohoni mbele we mimi nyuma hata sokoni
Nikumbatie i’m ready to fly
Na siti yako nikiwapa hata hawakai
Sikudai kama yai
Nalinywa ninapoamka asubuhi kama chai
Kukupata sio ujanja bali baraka
Ni vile mungu kani-bless sina mashaka
Ni kama almasi au dhahabu kwenye kichaka
So na-celebrate hakuna stress mashaka

Umenikaa,umenibamba
Rohoni umeniganda
Nipe nami nikupe chanda
Kwa utamu wa ndizi bila ganda
Lemme lemme lemme love you
Mimi na wewe mpaka milele
Lemme lemme lemme love you
Mimi na wewe mpaka,ey

Ready to die for yah
Ready to die for yeh
I’m ready to die for yah
My sweet melody Siti back, relax
Utamu wa nanasi, kula kujinafasi
Niite boya, niite fala,niite dume zoba
Nipe nyagi ,ah ah ! Mama nipe soda
Wanaku winda wanyama wakali
Mi napigwa vita na sijali
Chumvi ya nini sasa upo asali
Mtimilifu ,mtoto huna dosari
Jua likichomoza,nakupigia
Uhali gani mama,nakujulia
Nakupatia,mindio fundi
Ni zaidi ya ruba navyoganda kama gundi
Ladha ya mapenzi yako sikinai
Walai,tamu kama dival
Kisha dinner nikupeleke dubai
Si unamkono wa kuvunjia mayai

Umenikaa,umenibamba
Rohoni umeniganda
Nipe nami nikupe chanda
Kwa utamu wa ndizi bila ganda
Lemme lemme lemme love you
Mimi na wewe mpaka milele
Lemme lemme lemme love you
Mimi na wewe mpaka
Uuh my baby ,ooh

Watch Video

About Lemme Love You

Album : Lemme Love You (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Oct 04 , 2021

More NACHA Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl