Wake Up Lyrics
Wake Up Lyrics by NACHA
Kajipambanie mwenyewe
Usipo pambana atakupambania nani
Aah tupa shuka kumeshapambazuka
Ualimu sio wito kubeba vitabu vya history
Vumbi la chaki mshahara hautoshi usijali mwalimu wake up, wake up
Aah polisi wake up, kalinde mali na watu
Sio mateso ndio ajira usivunjike moyo katu
Boda boda amka kafate oda
Mjini ni ubishi ili tuishi mjini hapataki uoga
Nesi dokta tunawategemea
Msije mkagoma maisha yetu yanawategemea
Mida ndo hii mida ndo hii machizi
Wanangu wa chuo wake up tukasake degress
Achene kulala lala tuwahi madaladala
Kazi za watu zinataka uwe fala okay
Maniga I’m telling kukakaa vijiweni
Mtalaumu serikali bure wanangu amkeni
Mama nitilie nijazie success ni juhudi amka kahudumie
Wake up
Kajipambanie mwenyewe
Wake up
Usipopapambana atakupambania nani
Wake up
Kajipambanie mwenyewe
Wake up
Aah tupa shuka kumeshapambazuka
Viongozi wake up tuliwapa vyeo
Sio kujaza matumbo yenu bali maendeleo wake up
Aah walinzi wake up
Footballers wake up
Dj’s wake up
Presenters wake up
Dada wa nyumbani
Maisha ni mitihani
Ooh wake up dada wa saloom
Sokoni wake up
Kanisani wake up
Madukani wake up
Ooh wake up
Bamedi wake ep kuna watu wanakutegemea
Kusoma kuvaa kula kulala kwa kazi hiyo hiyo ya kuuza bia
Machinga mafundi gereji
Wasanii wapiga debe wabeba zege
Wake up
Kajipambanie mwenyewe
Wake up
Usipopapambana atakupambania nani
Wake up
Kajipambanie mwenyewe
Wake up
Aah tupa shuka kumeshapambazuka
Mtaji wa maskini nguvu zake mwenyewe
Tupa shuka pambana mwenyewe
Jipambanie mwenyewe mwenyewe
Mwenyewe mwenyewe
Watch Video
About Wake Up
More NACHA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl