Show me Lyrics
Show me Lyrics by HARMONIZE
Haa! Kumekucha masela hebu chembezeni stick,
manaake mziki hauna hela ila ila hela kuiopata mziki,
sifichi ambao hawapendi wanakoma
hasa ndo naua band maana natoboa kila ngoma,
wananisoma ngoma bomba kwa "touch"
waloniambia nile kone nkaambia wale penalty
toka jiji la samaki mama alipo nipa siri
kuwa biashara faster hakuna mwanaharakati tajiri....
pili watu waajabu sana ila me na adhabu sana
mabeste, hapo nilikusoma mwana wasanii wanaloga sana,
ndo maana mipete (wote chechee) wote tunampenda Mungu,
maana mpaji hapingiki...
sa vipi anakupa hi huku akisema Mungu akubariki
siwezi kushiriki kwenye dhambi yako,
ili ukatwe mikono kisha ule kwa macho
nisipo vuja jasho alokuwa nyuma yangu atakula wapi,
hapo ndo naamini kuwa wenye huruma hanaga bahati,
huu ndo uwezo binafsi vijana m-relaxy,
nakuomba usimtusi baba kama ujui utakula wapi
Na hadithi za sungura me sitaki ehe!
niletee hadithi za watoto wenye chura wa masaki
naukisikia nauza sura juu ya laki
maana uhai ni faida ikiwa hasara ni nafsi
Usichoke we kunja, kunja ukunjavyo,
me ntatusua hizi juhudi sio ndomba akisha,
panga apangayo uwezi pangua
asa temeke na ilala ah! ah! (unaionaje) yeah!
hadi manzese, mabagala ah! ah! (unaionaje) yeah!
unaionaje
Haa! Chuki huletwa na wivu na kushushiana hadhi,
na rafiki ndo atakae kuharibia kazi,
atakupindishia michongo na kukuvunjia nazi,
bongo ukifanikiwa unachukiwa wazi wazi,
ila sisi kazi kazi wengine tumetoka kwenye msoto
kuoga mpaka tushikwe viboko
naona umeandaa mkaa arufu hauna kiberiti we mtoto
chokoza wana wakuwashie moto
hebu nipite kushoto maana unanichukia
hata unisaidii unanitukana hata sifatilii sizimi chuku
maana mwisho kuroga wisho unakuwa
mchawi kwa maana utamu kunoga
unaogopa nini toba we binti acha uoga
mbona unakula beer arufu nguvu niza soda
sura hashiki poda unasifiwa na mawaki
kisha unaota mabembe utazani umekula nyati
Watch Video
About Show me
More HARMONIZE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl