
Forever Lyrics
...
Forever Lyrics by Phany Love
Phany love again
Samahani kama nitakuwa nakosea naomba niseme ukweli
Hii dunia biula yeye, mi nahisi nigefeli
Nishakutana na maumivu ya moyo mapenzi ya utapeli, tapeli
Lakini Mungu kanifuta machozi, kwa kunipa huyu kama zawadi
Alichoniweza mazoea, ukweli sio siri nimemzoea
Akiwa mbali nashindwa kuongea moyo unadudna
Mwili unanyong’onyea
Heshima utamu ananigea, ah ah namimi namupea
Aah tunapeana na sidhani kama tutaachana
Mi na yeye ah
Mi na yeye forever
Mi na yeye lololo
Mi na yeye mbaka forever
Mi na yeye ah
Mi na yeye forever
Mi na yeye lololo
Mi na yeye mbaka forever
Ah ah usijeniacha baridi, nani atanikumbata
Mwenzako peke yangu siwezi, moyo wangu umesha ukunyata
Ooh, sawa mi najua na upendo wa dhati
Ndio maana nimefunga macho sioni
Alichoniweza mazoea, ukweli sio siri nimemzoea
Akiwa mbali nashindwa kuongea moyo unadudna
Mwili unanyong’onyea
Heshima utamu ananigea, ah ah namimi namupea
Aah tunapeana na sidhani kama tutaachana
Mi na yeye ah
Mi na yeye forever
Mi na yeye lololo
Mi na yeye mbaka forever
Mi na yeye ah
Mi na yeye forever
mi na yeye lololo
Mi na yeye mbaka forever
Watch Video
About Forever
More Phany Love Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl