
Pele Maradona Lyrics
...
Pele Maradona Lyrics by MONI CENTROZONE
Naenda kama Pele Maradona
Naenda kama Pele pele Maradona
Pele Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Naenda kama Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Unjani man
Kumbe unajua Swahili habari gani
Mmh eeh uhali gani
Hakuna pombe hakuna pisi
Hatulali ndani
Nakuna mtoto mkali kama namuona
Muona muona muona
Na naskia harufu kule kwenye kona
Kona kona kona
Baba we kiwashe nipo tutanyonya
Nyonya nyonya
Halafu cheki mapolisi watatuchoma
Choma choma
You know what I mean
Ukiniona mimi
Mambo ya kijinga mimi sifagilii
And money is the key
Ukiplus na weed
Siku hizi mambo ya mapenzi hatufanyi for free
Naenda kama Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Naenda kama Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Naenda kama Pele Maradona
Unjani man
Kumbe unajua Swahili habari gani
Uhali gani Hakuna pombe hakuna pisi
Hatulali ndani
Na vile navyoingia kati mi sina wasi wasi
Kwenye riziki sifosi zangu mosi mosi
Afu keti kwa busati, upige basmati
Huku tumejazana wandewa usije ndosi ndosi
Michezo shabaha nikilenga sikosi kosi
Navowasha pili pili ile kidosi dosi
Nini maana ya vitambo ah noti noti
Afu tunacheza umlando Totsi Totsi
Nikona bebe pasua kichwa ina michezo
Kama sita ah
Afu inapuza tu masheesha
Nikila nalipa nasepa belle tisa
Naenda kama Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Naenda kama Pele Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Naenda kama Pele Maradona
Jay Jay Okocha, Tiago Silva
Wananiita Del Piero mzungu wa mpira
Nikiwa dimbani kama dinyo hatuwezi toka bila
Dakika za jioni mtameza pain killer
Hata tukirudi bongo hawanifikii
Naenda kama Fei toto au Azizi Ki
Changanya samata na msuva unipate me
Magoli ya shaolin soccer taichi
Go dada humo humo
Napendaga vile ukinipa uno uno
Yah yah yo miguno
Usinizidishe utanichanganyia mifumo
Na vile unapendaga nani
Dakika tisini raundi
Maji yenye gharama mnamii
Siwezi kumwaga ndani
Naenda kama Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Naenda kama Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Pele Pele Maradona
Naenda kama Pele Maradona
Watch Video
About Pele Maradona
More MONI CENTROZONE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl