Maelekezo Chapter 2 Lyrics by MONI CENTROZONE


Tunafumu maini
Tunachochea to the maximum
Viswaswadu mjini si tunashare hadi platinum
By wanaenda na feni uwani maana , Pililpili banaiani
Kama papa  benedikto na double dem wa vatican
Mwanangu we mbaya na uko gifted
Unatakiwa uote mbawa uwe lifted
Ukimrudia malaya iyo ni mistake
Cha kwanza wewe ni star alaf vintage
Cha msingi maintain social distance
If you don’t know you know moni is a real cassanova
Niko na dem kwiajaji kama nana fashionova
Muache kicheche jumapili kidimbwi akatake over
Mtakutana jumatatu marejesho na vikoba
Ninavyowakata kama sissor
2021 is my season
And i smoke kaya nikiwa na kiko
Kitendo juu maneno kama james gayo kongo
Mkileta rappers wenu sichinji navunja shingo
Nahisi ningedata mwanenu enzi bangi navuta na kimbo
Wanangu wakiwa wanakaba pancha na tindo
Wana walonikacha watarundi nikipiga mshindo
One time for maniggaz in chao hall
Two time for them prays on my downfall
Ukinikuta a town unaeza sema mrisho gambo
Malaya toa uchi upate iphone tambo

Naitwa maarifa  
Nimetusua japo waliminya korodani
Wakizingua naenda kuminya forodhani
Wametambua ntaenda kuzima ghorofani
Nimeshiba halafu nina kiporo ndani ( enhehehe kibaha finest)
Maarifa kichwa  mwanenu bora angekuma bega
Sasa unyayo bora abaki eeenh ingekuma shega
Ukicheza na mmb unacheza na wega
Usijite komando huku unacheza kidega papa twende ahaaa
Walitaka nimeewakuta mnamapengo hamuoni, mfupa
Nina amlengo msomi nina  matehdo hamponi
Mtauadoko la mwana mkiyavynja majengo sokoni
Eeeh !nazidi kupanda  
Habishi muulize faridi kubanda
Navile giza lazidi kutanda nami nang’aa mwanga
Bado wamoto namna hii Nakiwasha bila woga
Bado wamoto namna hii Nakiwasha kila hoja
Bado wamoto namna hii i nakiwasha lia ngoja
Niliapa nitafia booth ili baba yangu apate mbonga
Nawaelewa mtanipata vizuri
Mkinielewa mtajielewa hamtoipata shughuli
Niliapa mtoto wa mtaa sitopata sifuri
Nikifa nikazikiwe kibaha
Nitaacha nauli

247 nna -blaze mj and am so fucking high
Red eyes nimechill zangu heaven
Mguuni nina aj
Ishakanyaga kila chaka ina-smell blood kama
September 11 Zinaanguka bars now
Mbona kwenye party mabatani hutokei naoi ?
Mi ni meli wao ni bajaj sijimix nao
Ukali wanaojitambia rappers wote mi nnao
Dada body usifanye mchongo  
Bongo utapelekewa hadi utapike nyongo
Mwanaume akirudi usiku linazungumzika
Mwanamke akirudi  usiku ndoa inavunjika
Nawatimbia again wana-complain inawa pain
I can’t stop won’t stop hawapenyi wana-blame
Na ku-maintain status ni ngoma again and angain
Bongo fleva kabla haijanipa pay imenipa demu
Nazamiaga uvinza baba kinyaa sina
Nitolee utoto nishakinyonga ila lighter sina
Inakata moto ukini-diss njoo mzima lie kwako
Ntakuficha wee mamaamina

Watch Video

About Maelekezo Chapter 2

Album : Maelekezo Chapter 2 (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Oct 12 , 2021

More MONI CENTROZONE Lyrics

MONI CENTROZONE
MONI CENTROZONE
MONI CENTROZONE
MONI CENTROZONE

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl