
Simuachi Lyrics
...
Simuachi Lyrics by Phany Love
Nimelala nimeamka
Nadhani ndoto kumbe upendo na shamiri
Aah toka amekuja kweney maisha yangu kaichota akili
Ikitokea amekufa
Mi duniani kuishi sitostahili
Dah maan utamu anaonipa asali inasubili
Ooh baby asante kwa kunipa Amani
Uko nyuma mi nishaumizwa sana
Mapenzi sikutamani
Ooh baby asante kwa kuniweka uraiani
Nilifungwa jela ya mapenzi we ukanipa dhamani ohh baby
Simuachi my baby
Simuachi my baby
Simuachi my baby
Simuachi my baby
Ah, oh baby stop
Kupenda pengine mimi siwezi
Moyo nao nahisi nazi ndioishapata mkwezi
Nimetamani kuhadithia jinsi gani najiskia
Hili penzi malkia furaha ananipatia
Ooh baby asante kwa kunipa Amani
Uko nyuma mi nishaumizwa sana
Mapenzi sikutamani
Ooh baby asante
Kwa kuniweka uraiani
Nilifungwa jela ya mapenzi we ukanipa dhamani ooh baby
Simuachi my baby
Simuachi my baby
Simuachi my baby
Simuachi my baby
Watch Video
About Simuachi
More Phany Love Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl