
Niteke Lyrics
...
Niteke Lyrics by Phany Love
Phany love yeah
Machozi yalinitoka nilipoitesa furaha
Nikayachukia mapenzi
Hadi kupenda tena moyo ukakataa
Ila siku zilikwenda, nimempata anayenifaa
Ananipa mautamu ambayo sikuwaikupata
Sina lakusema Zaidi (nnayempenda ni yeye)
Na Mungu ndiye shahidi (nitazikwa na yeye)
Nikuakupate kwenye Zaidi (tuwe wote milele)
Tuhepuke mahasidi, weneye chuki (viherehere)
Niteke (oh niteke)
Nishakwambia teka niteke (oh niteke)
Baby, baby niteke (oh niteke)
Nishakwambia teka niteke (oh niteke)
Sikatai sina pesa
Ila upendo kweli ninao
Ata wakituteta usijali kwani si hatuli kwao
Nilikua wapi kwa mjomba nimechelewa
Sio kwa raha anvyonipa nishanogewa
Sina la kusema Zaidi
Ninayempenda ni yeye
Na Mungu ndiye shahidi (nitazikwa na yeye)
Nikuakupate kwenye Zaidi (tuwe wote milele)
Tuhepuke mahasidi, weneye chuki (viherehere)
Niteke (oh niteke)
Nishakwambia teka niteke (oh niteke)
Baby, baby niteke (oh niteke)
Nishakwambia teka niteke (oh niteke)
Watch Video
About Niteke
More Phany Love Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl