
NO Lyrics
...
NO Lyrics by Phany Love
Nakupakulia ex maana ulivyoniacha ulidhani nitakonda
Nakupakulia ex maana ulivyo ondoka mi ndio mwili unanona
Ulinipa ulemavu Mungu akanipa mwendo
Ulidhani sitampata wa kuliziba pengo
Nenda zako tu acha nikimbize malengo
Nilipoteza muda wangu kuwa na wewe kibwengo
Ila kwa sasa napendwa mi naringa
Mi naringa maana nishakipata
Kurudi nyumba siwezi (no, no, no)
Ukiniona kimbia kaa mbali na mimi (no, no, no)
Oh no no no (no, no, no)
Oh no no no (no, no, no)
Oh no no no (no, no, no)
Nimepata taarifa eti anaulizia ninapokaa
Lengo lake anataka kuja kwangu aje kuniomba msamaha
Kajisahaulisha huko nyuma alivyo ni nyanyapa
Kujipata kidogo eti kashaanza kujiletesha tamaa
Hivi maji masafi lakini nilinawa
Yule alinipa ugonjwa huyu kanipa dawa
Chochote anacho taka mimi kwangu sawa
Yeye ndio bosi wangu mimi ndio wake chawa
Ila kwa sasa napendwa (mi napendwa)
Mi naringa penzi shata shata
Ila kwa sasa napendwa mi naringa
Mi naringa maana nishakipata
Kurudi nyumba siwezi (no, no, no)
Ukiniona kimbia kaa mbali na mimi (no, no, no)
Oh no no no (no, no, no)
Oh no no no (no, no, no)
Oh no, no no (no, no, no)
Watch Video
About NO
More Phany Love Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl