
Gere Lyrics
...
Gere Lyrics by WHOZU
Boya mie mie
Mjinga wa mapenzi haswaa
Fala mie oh mie
Na kwake mimi nishanasa eeh
Supu haipandi mama nikikuudhi
Naomba samahani mama aya wee
Figo zitafeli mamaa pombe siziwezi
Utanikuta mortuary mama
Wa kwangu ni tam, tam tam tam
Mabo bam bam, bam bam
Twapenda zam zam, zam zam
Hunishi ham, ham ham ham
Wanaona gere
Ona wanaleta jealous
Wanaleta wivu
Ona wanaleta jealous
Na wivu utawauwa
Ona wanaleta jealous
Wanaleta wivu
Ona wanaleta jealous
Wivu utawaua
Wanavyosema riziki mafungu saba ah
Atuzidishie maulana mi nasema
Tuyazidishe mahaba oh
Kukuacha mwiko laana wewee
We familia yangu wewe ah
We mwanangu mwenyewe aah
Mi siwezi ishi bila wewe ah
We mwanangu mwenyewe aah
Kitu nacho ogopa kua mbali nawezaje hii hali hili Ali Kiba
Supu haipandi mama nikikuudhi
Naomba samahani mama aya wee
Figo zitafeli mamaa pombe siziwezi
Utanikuta mochwari mama
Wa kwangu ni tam, tam tam tam
Mabo bam bam, bam bam
Twapenda zam zam, zam zam
Hunishi ham, ham ham ham
Wanaona gere
Ona wanaleta jealous
Wanaleta wivu
Ona wanaleta jealous
Na wivu utawauwa
Ona wanaleta jealous
Wanaleta wivu
Ona wanaleta jealous
Wivu utawaua
Watch Video
About Gere
More WHOZU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl