Sijui Nikoje Lyrics
Sijui Nikoje Lyrics by WHOZU
Too much Money Zombie S2kizzy baby (Aaaaah)
Mapenzi yakinogaga kumposti naanzaga mimi
Nikianza kumchoka sababu namtafutia mimi
Sijui nikoje
Ni sijui nikoje
Nikipokea ka mchezo tajiri najiona mimi
Nikinywa na pombe nikilewa zinashuka chini
Sijui nikoje
Mi sijui nikoje
Kwanza mi bwana sijali, sijali
Yani kupretend maisha siwezi
Naipenda tabia yangu
Yaani sijaali
Mi mwenzenu sijali
Eti kupretend maisha siwezi Naipenda tabia yangu
Huyuyuyaa, Aichukucha
Mpeleme, mpeleme, mpelemende, Akikupaa
Huyuyuyaa, Aichukucha
Mpeleme, mpeleme, mpelemende
Asije susa
Krii krii tata krii krii
Krii krii tata, AYII!!!
Krii krii tata, krii krrri
Krii krii tata, AYII!!
Mengi mi nafikiri
Sijui nikoje
Saa nyengine mi nafikiri
Nikoje mi Saa nyengine mi nafikiri
Sijui nikoje
Saa nyengine mi nafikiri
Sijui nikoje
Mapenzi yakinogaga kumposti naanzaga mimi
Nikianza kumchoka sababu namtafutia mimi
Sijui nikoje
Aah mi sijui nikoje
Nikipokea ka mchezo tajiri najiona mimi
Sijui nikoje
Nikinywa na pombe nikilewa zinashuka chini
Sijui nikoje
Mi sijui nikoje
Kwanza mi bwana sijali, sijali
Yani kupretend maisha siwezi
Naipenda tabia yangu
Yaani sijaali
Mi mwenzenu sijali
Eti kupretend maisha siwezi Naipenda tabia yangu
Krii krii tata krii krii
Krii krii tata, AYII!!!
Krii krii tata, krii krrri
Krii krii tata, AYII!!
Watch Video
About Sijui Nikoje
More WHOZU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl