Chonjo Lyrics
Chonjo Lyrics by TRIO MIO
Trio Mio niko chonjo
Mamistari niite njonjo
Sina mbogi niko solo
But ukizua zogo
Unaeza ponwa upigwe koto
Tukamanga kimangoto
And I'm saucy with the rojo
Mi ndo mchuzi mi ndo Royco
Trio Mio chonjo
Sinaga mbio bure slomo
Niko ma area na mangoko
Tunajinyuria na malocal
Kameriet kamedonjo
Na niko shiet na masonko
Ka hunikanji issa no no
Nina kipaji mi ndio lotto
Jackpot mi nadai bhajia za Sunford
Arif yangu ametuma tuchujwe kwa tips
Anabonga ka mteja wa tampoon
Tuliseti kapyenga kwa balcon
Ikachachisha mpaka kwa ground floor
Caretaker ni vaite murume mahuru
Tandika Mejja wa Kansoul
Haina noma tuparu zilipuke
Tuskizie para za mapunjure
Mafutani ka ngozi ya nguruwe
Hii ni mragi magoti zipumue
We gumbaru kizungu ya movie
Ati huku umekuja na nduthi
Mamitumba unachocha ni Gucci
Trio Mio niko chonjo
Mamistari niite njonjo
Sina mbogi niko solo
But ukizua zogo
Unaeza ponwa upigwe koto
Tukamanga kimangoto
And I'm saucy with the rojo
Mi ndo mchuzi mi ndo Royco
Trio Mio chonjo
Sinaga mbio bure slomo
Niko ma area na mangoko
Tunajinyuria na malocal
Kameriet kamedonjo
Na niko shiet na masonko
Ka hunikanji issa no no
Nina kipaji mi ndio lotto
Nishawaelezea ratili na kilo si mnanimesea
Dalili za Shiro kuninyemelea
Natoka kijiko sipendi mambo ya
Sipendi mafisi, sipendi umbea
Pepo za Ng'ang'a tunazikemea
Warembo na haga ndo napendelea
Waroro wajanja kujitegemea
Trio bazenga bazeng natisha
Daily nakemba mapeng madiva
Mboka napiga na gang inajipa
Hii mwaka nitashika maweng mamita
Trio bazenga bazeng natisha
Daily nakemba mapeng madiva
Mboka napiga na gang inajipa
Hii mwaka nitashika maweng
[Young Lunya]
Killing the struggles
Si hivyo ndo wanakuja makundi makundi
Ndo wote wanakaa
Baada ya kuwa na rappers hawaniwezi
Hivi nimeamua kushindana kuvaa
Kushindana kote nimeshindikana
Labda watoto wa kushindana kupaa
Sio jidanganya kutoa mimba
Sa hivi pisi zinashindana kuzaa
Maelekezo ndo mchongo
Kikate hicho kiinua mgongo
Ukitaka uondoke na magongo
Sipokipake anayekuachia mkongo
Nipatie hizo za Mbongo
Nipasie hii chucha uhondo
Wanafanya fanya nachofanya
Vichwa maji acha vifuatie mkondo
Sasa mpaka muda huu nawagaragaza
Sasa bingwa mimi au nyinyi?
Mpaka muda huu nipo papa juu
Naleta pigo za umwinyi
Kama mwaka huu nina tuzo kupendwa
Na pisi zote za mjini
Yaani kama gonjwa mimi ni Corona
Ila iliyochanganyika na Ukimwi
Ngoja kwanza nile kitu
Watoto nawaka na kila kitu
Pesa naskianga kila siku
Mboga nazikataga bila kisu
Mimi nilitokaga bila bifu
Nini utaniambia kama hauna kisu
Ukiacha kuzaliwa Dar nimeacha habari
Kwa nyama na kila kitu
Watch Video
About Chonjo
More lyrics from Son of The City album
More TRIO MIO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl