Haitaki Hasira Lyrics
Haitaki Hasira Lyrics by CORNEL CEEZY
Haitaki hasira
Cheza tu chini buda utaona miujiza
Bila hata filter
Sijaenda jikoni na bado buda nimeiva
Nataka picha mnapiga pause
Mnajua nimefika
Vile mnabisha
Iza jo buda boss kwani nimewatisha
Haitaki hasira
Cheza tu chini buda utaona miujiza
Bila hata filter
Sijaenda jikoni na bado buda nimeiva
Nataka picha mnapiga pause
Mnajua nimefika
Vile mnabisha
Iza jo buda boss kwani nimewatisha
Ah hii team ni ya mafathe
Hakuna mamas enda pale
Ligi iliisha jana na huskii buda
Ati bado si ndo machampe
Nakata keki daily unaeza dhani buda kila siku ni birthday
Nachanganya chrome na energy
Nikizima watadai mi ni light weight
Afande wapi kipande, hatutaki mambleina hii upande
Hatudai security so buda itabidi urudi kwa kambi
Napenda mavazi so vile buda nitawapigia kinyasa na roshe
Sijapiga suti lakini maninja wanajua nani ni boss
Walidai feature sai ngoma zangu zimejaa tu na majokes
Ingia mtaa usiku utapata maninja wamedoz on toes
Nawadishi na kijiko leo lakini kesho kisu na fork
Haitaki hasira
Cheza tu chini buda utaona miujiza
Bila hata filter
Sijaenda jikoni na bado buda nimeiva
Nataka picha mnapiga pause
Mnajua nimefika
Vile mnabisha
Iza jo buda boss kwani nimewatisha
Haitaki hasira
Cheza tu chini buda utaona miujiza
Bila hata filter
Sijaenda jikoni na bado buda nimeiva
Nataka picha mnapiga pause
Mnajua nimefika
Vile mnabisha
Iza jo buda boss kwani nimewatisha
Napiganga pizza na uji, hebu kwanza pitisha hio chumvi
Ati we ni pussy nigga, basi nigga atleast nyoa hizo fudhi
Na kama ni giza nitawachoresha my nigga na mi si msudi
Amejipika jina ni Becky basi nipee hio cookie
Manzi yako ananiita bestie, anadai we bestie ni msexy
Kwa keja na mi simueki, naride bila hata breki
Atamwaga hadi ableki, ona sasa umerarua bedsheet
Mi ndo the shit na nimeikaza wacha kwanza nikadenki
Sijapiga suti lakini maninja wanajua nani ni boss
Walidai feature sai ngoma zangu zimejaa tu na majokes
Ingia mtaa usiku utapata maninja wamedoz on toes
Nawadishi na kijiko leo lakini kesho kisu na fork
Haitaki hasira
Cheza tu chini buda utaona miujiza
Bila hata filter
Sijaenda jikoni na bado buda nimeiva
Nataka picha mnapiga pause
Mnajua nimefika
Vile mnabisha
Iza jo buda boss kwani nimewatisha
Haitaki hasira
Cheza tu chini buda utaona miujiza
Bila hata filter
Sijaenda jikoni na bado buda nimeiva
Nataka picha mnapiga pause
Mnajua nimefika
Vile mnabisha
Iza jo buda boss kwani nimewatisha
Watch Video
About Haitaki Hasira
More CORNEL CEEZY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl