Zimenishika Lyrics

ZZERO SUFURI Kenya | Dancehall, Pop

Zimenishika Lyrics

[Intro]
Zimenishika zimenishika, zimenishika yooh
Niki(mff mmff), kimenishika yoh
Eeeh, kiko kwa kichwa 
Kimejificha si ni kimbichwa yoh

Si ni kienyewe 
Kiko kwa kichwa kimejificha yoh
Kiko kwa kichwa kimejificha si ni kimbichwa 
Si ni kienyewe kiko kwa kichwa kimejificha 
Juu ni kimbichwa(sikia Zzero)

Washa ki(mff mmff) ndio kiende chain
Nikivute kiingie (mff mmff) hadi kwa brain
Nikitam niki(mff mmff), saa ya rain
Niki ki(mff mmff) 

Eeeh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika 
Zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Niki(mff mmff), kimenishika yoh

Eeeh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika 
Zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Niki(mff mmff), kimenishika yoh

Eeeh 
Kiko kwa kichwa kimejificha 
Si ni kimbichwa yoh
Si ni kienyewe kiko kwa kwa kichwa
Kimejificha yoh

Kiko kwa kichwa 
Kimejificha si ni kimbichwa 
Si ni kienyewe 
Kiko kwa kichwa kimejificha
Juu ni kimbichwa eeh

Washa ki(mff mmff) ndio kiende chain
Nikivute kiingie (mff mmff) hadi kwa brain
Nikitam niki(mff mmff), saa ya rain
Niki ki(mff mmff) eeh hadi kwa vein

Ati 
Washa ki(mff mmff) ndio kiende chain
Nikivute kiingie (mff mmff) hadi kwa brain
Nikitam niki(mff mmff), saa ya rain
Niki ki(mff mmff) eeh hadi kwa vein

Ju naifanya mara mingi nikohoe(mff mmff)
Kwa kifua(mff mmff)
Mi hukivuta(mff mmff)
Na mamorio wangu wote
Si wanapenda kuzi(mff mmff)
Kutoka ngware hadi usiku 
Si hushindaga tuki(mff mmff)

Tukilandi(mff mmff)
Nishawasha kingine(mmff)
Kwanza peddy si ako inadi 
Zinafaa tuziende(mmff)
Zikikam(mff mmff)
Tuzivute(mff mmff)
Zote zote ka(mff mmff)
Zote zote ka(mff mmff)

Cheki
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika 
Zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Niki(mff mmff), kimenishika yoh

Eeeh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika 
Zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Niki(mff mmff), kimenishika yoh

Si uki kohoa kohoa 
Hiyo ni dalili ya kunyongwa
Pitisha morio 
Utaitisha ni kubwa sana
Ivisha macho zikuwe red
Macho nyanya na
Usiseme ukweli 
Ukiulizwa unasema hapana

Ati niki(mff mmff)
Umevuta na unasema hapana
Maybe pengine, kwani morio mnajuana
Si kuna watu huwaga jo mnaweza kosana
Imekubalika we ki(mff mmff) bado mchana

Ati 
Ki kush kipass kwanza kitam kia ras
Ka umezoea choma utaskia niko kwa France
Unajua uko smart chini umedunga ma clarks
Unaeza vaa pams, toka mbio ruka bumps

Ati
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika 
Zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Niki(mff mmff), kimenishika yoh

Eeeh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika 
Zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Niki(mff mmff), kimenishika yoh

Yeah, yeah(yeah yeah) 
Ni zzero, kama sos me ndio soss 
Mi ndio world boss
Eeeh cheki 
Bigup MeGaLink productions
Dagoretti, number 2 tuko ndani

ZZERO SUFURI (13 lyrics)

Zzero Sufuri is an artist from Nairobi, Kenya based in Dagoretti.He came to the limelight when his song "Zimenishika" went viral.

Leave a Comment