Kaa Mbali Lyrics
Kaa Mbali Lyrics by EQUE
Si ni ule dem ana IQ
Yeah Eque Rrrrh
Wewe ni hater kaa mbali
Wewe ni fake kaa mbali
Wewe ni fisi kaa mbali
Mimi sitaki kaa mbali
Kaa mbali kaa mbali
Kaa mbali na mimi
Kaa mbali kaa mbali
Kaa mbali na mimi
Wewe ni hater kaa mbali
Wewe ni fake kaa mbali
Wewe ni fisi kaa mbali
Mimi sitaki kaa mbali
Kaa mbali kaa mbali
Kaa mbali na mimi
Kaa mbali kaa mbali
Kaa mbali na mimi
Mimi ni moto na huwezi niota
Acid vile nakuchoma
Mambleina mi huwatoka
Tukipatana wanapiga kona
Flow yangu ni ill ina coma
Nikiwashika utadhani mi ni homa
Aah zii hii ni Corona
Invincible huwezi niona
Huwezi toroka
Nilitoka China nililand na Toyota
Na mi si fake usidhani nachocha
One take kama beat ni noma
Sai niko flight mode siwezi bonga
Vile nimethoka nadai kuomoka
Baby steps na ni mbali nimetoka
Sikia vile vibes sasa ni noma
Kaa mbali hii vumbi inagoroka
Walai nimebonda songa mbali
Presha imefanya mimi silali
Ka we ni rapper sikia sijali
Nop coz mi ni big dog umbwa kali
Kuna mtu alisema sitoshi huwezani mimi si softi
I kill a beat waseme we sorry
Nimejipin nimekwama niko ndani
Wewe ni hater kaa mbali
Wewe ni fake kaa mbali
Wewe ni fisi kaa mbali
Mimi sitaki kaa mbali
Kaa mbali kaa mbali
Kaa mbali na mimi
Kaa mbali kaa mbali
Kaa mbali na mimi
Wewe ni hater kaa mbali
Wewe ni fake kaa mbali
Wewe ni fisi kaa mbali
Mimi sitaki kaa mbali
Kaa mbali kaa mbali
Kaa mbali na mimi
Kaa mbali kaa mbali
Kaa mbali na mimi
Dem mahuru natembea na rungu
Ndani ya kibenje nimesunda mapingu
Kama Judas wanataka kunimunju
Nawafukuza wakanurse mauchungu
Mimi na wewe sio mandugu
Ukinicheki sepa hepa, ukipiga nduru
Mtaa yangu wanajua mimi kurutu
Coz nawadiscipline kama sungu sungu
Nabonga mob mdomo yangu si broken
Ukidai more naadisia kama token
Mistari zangu zimeshona swollen
Nadedi vako za 12 kama dozen
Eque kabaya yes i'm rotten
Ka we ni bestie yes you chosen
Ukiringa kwangu you fallen
Vile nawachoma I am the oven
Mi ni Wairimu kwa ile stori ya Cohen
Kinyume cha hen ni heaven
Kuna vitu mtadai ni stolen
But kwangu your lingo is fallen
We ni fisi buda cum ndani ya CD
Siwezi beba mtoi wako mimi
Nilikustalk na Whatsapp ya GB
Na chuma yako ni ya inch mbili
Wewe ni hater kaa mbali
Wewe ni fake kaa mbali
Wewe ni fisi kaa mbali
Mimi sitaki kaa mbali
Kaa mbali kaa mbali
Kaa mbali na mimi
Kaa mbali kaa mbali
Kaa mbali na mimi
Wewe ni hater kaa mbali
Wewe ni fake kaa mbali
Wewe ni fisi kaa mbali
Mimi sitaki kaa mbali
Kaa mbali kaa mbali
Kaa mbali na mimi
Kaa mbali kaa mbali
Kaa mbali na mimi
Kaa mbali, kaa mbali
Kaa mbali, kaa mbali
Kaa mbali kaa mbali
Kaa mbali na mimi
Kaa mbali kaa mbali
Kaa mbali na mimi
Kaa mbali, kaa mbali
Kaa mbali, kaa mbali
Kaa mbali kaa mbali
Kaa mbali na mimi
Kaa mbali kaa mbali
Kaa mbali na mimi
Watch Video
About Kaa Mbali
More lyrics from Ngeli ya E.Que (EP) album
More EQUE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl