Kondiko Lyrics by SESKA


Anasema hanitrust labda nipige Sure
Mi hupenda kuidishi nikiwa kipure
Akianika hizo haga akiinua
Mkono kwa jegi zicheze kwa kifua

Ati mi sizami bila nyong'inyo
Zii sizami bila kondiko
Maquickie kehuti akitoka kijiko
Kufunika shimo ya sufuria na mwiko

Ati mi sizami bila nyong'inyo
Zii sizami bila kondiko
Maquickie kehuti akitoka kijiko
Kufunika shimo ya sufuria na mwiko

[Seska]
Nyama kwa nyama ni tamu lakini
Ujue Ukimwi ni real so amini
Magonjwa ya zinaa mtaa huwa mingi
Kondiko muhimu jikinge rafiki

Ata ka ni kutu usiingie hivi hivi
Ata ka ni msupuu kavu usimtie
Heri ungoje burden hosi mpitie
Doc akidai mko safe mnaeza ingiana

[Dullah]
Ananyesha nishajua nikitaka nitavua
Tikitaka piga ua, Lisa sasa ni wa mashua
Safisha rada ju ishakuwa 
Tukinyala figa pure

Nikihalla niko sure
Atapull up atakuwa, akipulldown atavua
Sina nyong'inyo, sina vitu za kufanya nazo mastingo
Nirudi area nikistepo na mambio
Hii ni kitu itakumada nipe maskio

Ati mi sizami bila nyong'inyo
Zii sizami bila kondiko
Maquickie kehuti akitoka kijiko
Kufunika shimo ya sufuria na mwiko

Ati mi sizami bila nyong'inyo
Zii sizami bila kondiko
Maquickie kehuti akitoka kijiko
Kufunika shimo ya sufuria na mwiko

[Mastar VK]
Nina makondiko, huku penye niko
Nina watoto mangoko, yaani penye niko
Unacheza kama mito, kasee wa kwito
Ka ni chingri lazma ulewe
Mzinga upewe nikuzungushe kama mwiko

[Maddox]
Bila ndiko siwezi kupiga iyo mali
Niko juu ya ching na steam za makali
Msupa ni ngeus ameiva kama ameiva ka asali
Majani kusanif kako juu ya ngwai
Leta haga na asikuwe na kisonono
Ngeus ni mrembo amebeba kama momo
Aaii na kameshika kikolombo
Ati nikabebe juu ya mgongo

Asikuwe tu ni wa highschool
Asikuwe tu ni kimono
Asikuwe tu ni kamono kamono, kimono

Ati mi sizami bila nyong'inyo
Zii sizami bila kondiko
Maquickie kehuti akitoka kijiko
Kufunika shimo ya sufuria na mwiko

Ati mi sizami bila nyong'inyo
Zii sizami bila kondiko
Maquickie kehuti akitoka kijiko
Kufunika shimo ya sufuria na mwiko

[Fralee Boloking] 
Msanii utajua leo goat husaga nini
But before nichimbe shimo mi hudunganga CD
DVD kwa mwili nimebeba mashini
Daily nipate busy ju king hupenda mini

Naeza kata Jane leo kesho niteke Judy
Nikate Suzy ju nina kutu ka wandulu
Nikate Veni nikikachocha na githeri
Mwenda pole hufika so navuta heri

Aheri baby kondiko ndo inanuka Ribena
Nadunga before nimwage uzima
Kondiko ndo inanuka Ribena
So before nicheze game mi hudunga matimber

Ati mi sizami bila nyong'inyo
Zii sizami bila kondiko
Maquickie kehuti akitoka kijiko
Kufunika shimo ya sufuria na mwiko

Ati mi sizami bila nyong'inyo
Zii sizami bila kondiko
Maquickie kehuti akitoka kijiko
Kufunika shimo ya sufuria na mwiko

Watch Video

About Kondiko

Album : Kondiko (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 04 , 2020

More SESKA Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl