Yumba Lyrics
Yumba Lyrics by BROWN MAUZO
Naona watoto wakali wameng'ara hatari
Namwona Vera pembeni na Zari
Jivinjari kumewaka nari
Chafua meza hasara si hatujali
Leo goma moto na kujimwaga uwanjani, uwanjani
Si goma la kitoto, songa kando ka huwezani, huwezani
Kulia kushoto, limeshika mpaka ndani, mpaka ndani
Watoto viboko, na vibindo kiunoni, kiunoni
Basi leo utambae kwa magoti
Hatuchezi bedi ni kwa moti
Mkono upapase remote
Hii nikuchape kishoti
Ona pombe limekolea anayumba
Mba mba anayumba
Ona pombe limekolea anayumba
Mba mba anayumba
Yule pale limemlemea anayumba
Mba mba anayumba
Limemlea anayumba
Mba mba anayumba
Kashanibeep kabinti kale
Nakapa kiti kaje kakae
Nakaagizia tequilla
Mechi leo tight I'mma bedroom bully
Watoto kila aina aina sampuli
Hakuna kunyonga monkey watoto walivyo fine
Michezo ya gizani
Hakuna kunyonga monkey watoto walivyo fine
Michezo ya gizani
Basi leo utambae kwa magoti
Hatuchezi bedi ni kwa moti
Mkono upapase remote
Hii nikuchape kishoti
Ona pombe limekolea anayumba
Mba mba anayumba
Ona pombe limekolea anayumba
Mba mba anayumba
Yule pale limemlemea anayumba
Mba mba anayumba
Limemlea anayumba
Mba mba anayumba
Ona pombe limekolea anayumba
Mba mba anayumba
Ona pombe limekolea anayumba
Mba mba anayumba
Yule pale limemlemea anayumba
Mba mba anayumba
Limemlea anayumba
Mba mba anayumba
Limemlea anayumba
Mba mba anayumba
Watch Video
About Yumba
More lyrics from V the Album album
More BROWN MAUZO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl