Utanizalia Lyrics
Utanizalia Lyrics by BROWN MAUZO
Mahaba kina kirefu nlizama
Safari imefika mwisho nlikwama
Uuuh! wee ndo roho yangu
Uuuh! wee ndo mboni yangu
Nawapa wenye misemo mtaachana
Na dua njema atulinde Maulana
Uuuh wee ndo roho yangu
Uuuh wee ndo mboni yangu
Uliahidi utanizaliaa
Leo umebeba mimbaa
Kesho unanizalia, Inshallah
Ntampa nzuri jinaa mwanangu
Uliahidi utanizaliaa
Leo umebeba mimbaa
Kesho unanizalia, Inshallah
Ntampa nzuri jinaa mwanangu
Ah! nigandegande kama rubaa
Tuzeeke wawili
Leo na kesho wangu wa ubavuni
Tuzikwe wawili
Ushanchanganya, ewee mwaya
Niko hoi mahututi wee ndo fire
Nlipagawa,nkachachawa
Heyy! tulia apa tufe wote
Uliahidi utanizaliaa
Leo umebeba mimbaa
Kesho unanizalia, Inshallah
Ntampa nzuri jinaa mwanangu
Uliahidi utanizaliaa
Leo umebeba mimbaa
Kesho unanizalia, Inshallah
Ntampa nzuri jinaa mwanangu
Watch Video
About Utanizalia
More BROWN MAUZO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl