
Hood Lyrics
...
Hood Lyrics by Toxic Lyrikali
Nikitembea kwa Hood
Niko na something to offer na nothing to loose
Very rude mi sidai kuwa good
Kwa hood the good ndio ugeuzangwa food
Tension ju ya ma boys in blue unaeza dakwa bure bure
Na bado uzame tu
Valia hood
Washindwe kukuzoom kwa hood ndani ya hood nikitembea kwa Hood
Nikitembea kwa
Approach kwa umbali utadhani niko cool
Karibia karibia niku prove we ni fool
Si lazima attitude ndio nikue understood
Magazine hairudingi home full
Kwa hizi chuom wanabuya
Ndani ya kifua mbling zao azioni jua
Dead boys we affi dead ju ya duya
Nikinukisha after nimezidi ndio utanusa
Ka lorry ya taka taka kwa highway
Sijali wengine on my own lane
Alitii after kupatiwa long cane
Ananiita T ju Lyrikali ni long name
Mostly miumuona na nguo za birthday
Nimezungukwa na magoshodo ka bonfire
Ni kitambo uskii mi nilisha expire
Nimejiaminia one man empire
Sina rada ya mbele guide me Messiah
Nikitembea kwa Hood
Niko na something to offer na nothing to loose
Very rude mi sidai kuwa good
Kwa hood the good ndio ugeuzangwa food
Tension ju ya ma boys in blue unaeza dakwa bure bure
Na bado uzame tu
Valia hood
Washindwe kukuzoom kwa hood ndani ya hood nikitembea kwa Hood
Nikitembea kwa
Na wa assume wakingoja ni wa amuse
Ngware boys akirau alarm we unasnooze
Kwa migu na ground nimeshikilia ka root
Tulikosana sai wanadai truce mapuss
Wanaogopa polisi
Na mraia inaogopa sisi
Watuamini na sio wao pia sisi kwa sisi
Adi pretty mi sionyeshi pitty
Na move ka kipindi
Father God lakini usiniache guide me
Niko kwa giza adjust lighting
Maganji nika na fanya drug deals
Wanyongwe wakidai kunikulia ma hungry
Father God lakini usiniache guide me
Niko kwa giza adjust lighting
Maganji nika na fanya drug deals
Wanyongwe wakidai kunikulia ma hungry
Nikitembea kwa Hood
Niko na something to offer na nothing to loose
Very rude mi sidai kuwa good
Kwa hood the good ndio ugeuzangwa food
Tension ju ya ma boys in blue unaeza dakwa bure bure
Na bado uzame tu
Valia hood
Washindwe kukuzoom kwa hood ndani ya hood nikitembea kwa Hood
Nikitembea kwa
Watch Video
About Hood
More Toxic Lyrikali Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl