...

Long Story Lyrics by Toxic Lyrikali


Makelele kwani nani anabisha

Kuenda kucheck landi na vifuli sita

Ananishow keja anadai kutinga

Ni grab kenye nataka ni safishe nikimaliza

Si tulielewana Monday

Apana akili nimebadilisha

We safisha beshte yangu anadai kuingia

Nikaenda kwa jirani yangu ye upenda beer

Akaniserve tiabe although pia ye ako chupri

After dakika nane nikaenda kutafuta shugli

Kupatana na beshte akanishow twende hivi

Tukiwa njiani morio naona mbogi

Naskia hu boy ndio alinitoka tenje

Na ju wako mbogi ni trr toka teke

Rudia kikosi tutrace hao masenje

Walinigeuzia so tuliwatoka matenje

Tusha wamocho nimepunguza mawazo

Sina doh ya ngondo sa nikuuma vako

Ndio nimalize stress nikaingia studio

Nikapatana na Chloe na Vk kwa studio

Stevo akarecord doba inaenda walai ananidai

Ilitubamba tukaenda home five

Kufika area tena ni stress walai

Sina doh so kenye akili inagonga ni crime

Natafuta kwa kulala na beshte yangu headbad

Beshte yangu headbad

Before niende kudoz tuingie mission moja wagwan

Tukatrace mheshi flani ukua paper

Mansion bwaku joh unaeza potea

Ndio anatoka wera so nikumtegea

Gate wakifungua pole pole ingia

Ju kuna giza hawakutuskia

Akaona njia iko wapi kwa Drisha

Hao sisi ingia nikuhepa familia

Si tunataka tu ile safe wausundanga ma mia

Wale maboy tulitrace walitufuata

Ju tuko on si maboy waliogopa

So ikabidi waende wakataje backup

Usidhani ni mbogi imagine ni mambanga

Walisnitch tukiwa scene na ni sin

Tena ni trr toka teke

Mansion ni bigi tafuta exit yoyote

Tension imejaa ju ya siren uko nje

Roho ya kwangu inadunda du du

Masanse pia wako nyuma watuachi si udu

Kidogo tena gunshot one two

Kugeuka naona beshte yangu amelazwa kwa pool

Ya Dibla

Tena stress zimenishika

Biz imechomeka na saka kwa kujificha

Wakanikosa ikabaki wameingia

Kujisundua rada naangalia

Nikatoa mask nikaichomea kwa njia

Na hio riba mi nikanyamazia

Ju mi ni ndume so hakuna kulia

Inabidi kilio ndani joh nimekazia

Nikakumbuka na nikafikiria

Nikaenda kudoz kwa beshte yangu joh wa kanisa

After that tabia nikabadilisha sa mboka ya doba ndio nadai kuingia

Ni long story na ni ngori skiza story

Ni long story na ni ngori bro skiza story

Ni long story na ni ngori skiza story

Ni long story na ni ngori

Watch Video

About Long Story

Album : (Single)
Release Year : 2025
Copyright :
Added By : Farida
Published : May 23 , 2025

More Toxic Lyrikali Lyrics

Toxic Lyrikali

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl