Mama Lyrics
Mama Lyrics by SERRO
Patiently as I walk to you
I can trust all my cares to you
And I'm sure that I will get a breakthrough
Coz that is simply what you do
Ninapolia nawe unalia
Ninapocheka nawe unacheka pia
Ninapohitaji najua utanipa
Ju wewe ndiwe wewe
Mama iyaa, yelele iyee
Mama iyeee, yelele iyee
Mama iyee, yelele iyee
Mama oooh oh, yelele iyee
Wewe ni mama, my rock my power
Wewe ni mama, my night and shinning armour
Wewe ni mama, my number one protector
Wewe ni mama, my propellor
Siku moja nitakupatia pia
Kamwe wewe hautalia
Siku moja nitakujengea nyumba
Ile siku nitakuwa superstar
Mama iyaa, yelele iyee
Mama iyeee, yelele iyee
Mama iyee, yelele iyee
Mama oooh oh, yelele iyee
Mama, mama ooh mama
Mama ooh mama, mama ooh
Nakuamini mama yangu
Nakudhamini mama wee... mmmh
Watch Video
About Mama
More lyrics from Kuwe album
More SERRO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl