Niurandukania Lyrics
Niurandukania Lyrics by SERRO
Everytime I think about you
I don't know how but you drive me koo koo
Maybe it's in the simple things you do
You don't know how I care for you to be my boo
You say funga macho
Nishike mkono
Sikiza sauti ya yako moyo
Unanikaa
Funga macho nikakushika mkono
Na sasa nina hisia zinazonichanganya
Na ni urandukania
Ngueciria ni ndiragoroka
Na ni urandukania
Ngueciria ni ndiragoroka
Ni ndiragoruka!
Tumekuwa marafiki tangu awali
Lakini hisia zangu zabadili
Ningependa kukueleza
Lakini kwa kweli mi sina jinsi
Kwani ninahofia vile utakavyohisi
What if you don't feel the same way I do
Then I will be sticky here just like a fool
Kwani hisia hizi taboo
I know I shouldn't be feeling this for you
What if you don't feel the same way I do
Then I will be sticky here just like a fool
Kwani hisia hizi taboo ..ooh
Ni urandukania
Ngueciria ni ndiragoroka
Na ni urandukania
Ngueciria ni ndiragoroka
Ni ndiragoruka!
Nitapata nguvu za kukueleza
Namuomba Mungu nawe utanipenda
Mimi naamini si tunaweza
So baby please nikubali mimi
Ni urandukania
Ngueciria ni ndiragoroka
Na ni urandukania
Ngueciria ni ndiragoroka
Unichizisha baba ye
Unanichizisha baba yoh
Unanichizisha baba yoh
Unichizisha baba ye
Unanichizisha baba yoh
Unanichizisha baba yoh
Watch Video
About Niurandukania
More lyrics from Kuwe album
More SERRO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl